Home
Unlabelled
kikwangua anga kipya dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli picha zinaweza kukufanya upotee hata sehemu, mbona hili ghorofa alipendezi kama linvyoonekana kwenye picha. Iwe usiku, asubuhi hata mchana.
ReplyDeleteso what??watu tunafikiria tutatatua vipi swala la foleni wewe unatuletea mipicha inayoonyesha jinsi foleni itakavyozidi town centre,hili wangejenga nje ya mji ningewaona wanacare lkn hawa wanajali biashara tu si mazingira.
ReplyDeleteAsante Ankal!
ReplyDeleteHawa viongozi wa jiji inabidi waulizwe je, kabla kujengwa majengo kama haya, hivi wanafanya utafiti wa wa jinsi wanaweza kujizatiti kwa ongezeko la msongamano keulekea kwenye majengo haya?
Au ndio shagala bagala tu...Bongo tambarare!!!
Ankal, Ndo hizi "Poor Planning" ambazo hatuzihitaji kwa Tanzania ya leo! Wanajenga majengo makubwa ya nini katikati ya jiji? Huku ni kuongeza msongamano wa magari na pilika nyingine zisizoisha katika jiji hili. Nilitarajia majengo ya sampuli hii kuwa maeneo kama Ubungo, Tegeta, Mbezi, Bonyokwa ama Bunju.
ReplyDeleteSijajua vijana wa mipango miji wanafanya kazi gani hasa!
Ni mimi mdau mkereketwa wa maendeleo!
idimi@jamiiforums.com
Maeneo yenyewe ya kujenga vikwangua anga hivyo yako wapi?. Kwa jinsi city centre ilivyobana nina uhakika hewa safi hapo kati itakuwa msamiati.
ReplyDelete