Home
Unlabelled
kiplefti yetu mtaa wa azikiwe avenue leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
dar ni moja ya mji mchafu unao ongoza ulimwenguni!!!!!katikati ya jiji kuna hali hiyo,hivi hiyo nchi kuna viongozi kweli???
ReplyDeleteHapo ndo unapojua jua kuwa baadhi ya watendaji wa wizara zetu ni vimeo, we one tu tena katikati ya jiji ila Mh. Prezdaa akitakakukatiza eneo hilo patakuawa mukidee tena kinoma, mi naona huyu waziri na watendaji wake wote wafukuzwe kazi, na waache kusubiri makato yetu mwisho wa mwezi.
ReplyDeletehivi viplefti vimekuwa vingi sana siku hizi.
ReplyDeletedar kwali inapendeza. kama hapo mbele kidogo ya hiyo kipleft upande wa SHELI huwa mfereji wa maji SAFI unabloku inatokea harufu nzuri ya marashi.
sijui hizi pesa za paking kule koko bichi wanazipeleka wapi? namwomba mjomba awe anazunguka zunguka town ili kuzindua hizi developmenti. si mliona ile bara bara iendayo lidaz? sasa hivi imewekwa na jamvi.
YALIYOMO YAMO!
Ni upande wa 'Petrol Station' - Kituo cha mafuta. 'SHELL' ni jina la Kampuni. Na si kila kituo cha mafuta ni 'SHELL'. 'Nishushe Sheli!' Agggrrrrh!
ReplyDeleteDuuh! sijui utaratibu wa bongo ukoje kwa mtu kama Prezdaa kufanya operation za siri kupita mitaani ajionee maendeleo anayojivuni. Kwa wenzetu Kigali, Prezdaa wao anafanya visits za kushtukiza na anaride kwenye private car - tinted glasses bila ving'ora wala misururu then anarudi ikulu na kuwaita watendaji wajieleze...sijui bongo ni vipi! Inasikitisha, system haiko serious hata kidogo - politics kwenye kila kitu
ReplyDeletewewe anoni tunajua usitusahihi she, kwani aliyesema "SHALL" NI NANI? NIMEANDIKA SHELI.
ReplyDeleteunatakiwa ujue humu hatuhangaiki na kiswahili/lugha bali tunadili na masuala ya kitaifa. ndo maana lugha za humu watu hawamaindishi Mfaro mtu anaandika daraja la selenda briji badala ya daraja jembamba au slender bridge.
jadili mambo ya kitaifa kijana! ebo.