MAHALI: MBWENI,
BLOCK 5,
DAR ES SALAAM
KARIBU NA SHULE YA SEKONDARI YA BAKILI MULUZI
UKUBWA: UJAZO WA JUU, TAKRIBANI MITA ZA MRABA 700
MAELEZO MENGINE: KIWANJA KIMEPIMWA, KIKO KATIKA MRADI WA SERIKALI. KIWANJA KINA HATI NA MUUZAJI NDIO MMILIKI. MADALALI HAWATAKIWI

BEI: TSH MILLIONI 10.5 (PUNGUFU UNAONGEA)
MAWASILIANO: SIMU - +255786424662. BARUA PEPE –
mathemagician81@gmail.com
--------------------------------
PLOT FOR SALE
LOCATION: MBWENI,
BLOCK 5,
DAR ES SALAAM
NEAR BAKILI MULUZI SECONDARY SCHOOL
SIZE: HIGH DENSITY, ABOUT 700 SQUARE METERS
OTHER PARTICULARS: THE PLOT IS SURVEYED AND IS LOCATED IN AN URBAN DEVELOPMENT PROJECT AREA.
THE SELLER IS THE OWNER AND HAS THE TITLE DEED.
NO “AGENTS” ALLOWED PLEASE
ASKING PRICE: TZS 10.5 MILLION (BUT IT’S NEGOTIABLE)
CONTACTS: PHONE - +255786424662.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. sawa kiwanja kinauzwa lakini mbona jina la email utata?mathemagician,si unaweza kujikuta pesa zako mwenyewe hapo hazijatoka mrithi.mhhhh hayaa.

    ReplyDelete
  2. ...mathemagician! Siyo wale wa kubadili pesa kuwa karatasi?

    ReplyDelete
  3. Hivi kweli tafsiri ya High density= Ujazo wa juu????
    Kwahiyo na Low density ni= Ujazo wa chini?????

    somebody living in a high density area ni sawa na kusema jamaa anaishi katika eneo la ujazo wa juu yule wa low density area anaishi katika eneo la ujazo wa chini!!!
    niko gizani kabisa kama hii ndo tafsiri yake...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...