MAREHEMU MZEE JOHN HARUN GUNZARETH
LEO TAREHE 4/3/2010 BABA YETU MPENDWA AMETIMIZA MWAKA MMOJA (1) TOKEA AFARIKI DUNIA TAREHE 4/3/2009.
BABA TUNAKUKUMBUKA SANA KWA UPENDO WAKO, UCHESHI WAKO NA UTANI WAKO ULIO KUWA NAO WAKATI WA UHAI WAKO.
UNAKUMBUKWA ZAIDI NA WATOTO WAKO, WAJUKUU ZAKO, NDUGU ZAKO, JAMAA NA MARAFIKI WOTE. TULIKUPENDA SANA BABA LAKINI MWENYEZI MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA,
JINA LAKE LIHIMIDIWE
AMEN.
MWENYEZI MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU BABA YETU MAHALA PEMA PEPONI AMEN
ReplyDeleteRIP Mzee Gunzareth, Chang'ombe tutakukumbuka daima kwa ucheshi wako.
ReplyDelete