Yeye ni Mbongo, msanii wa muziki wa Gospel ambaye makazi yake ni pale Seattle,Washington nchini Marekani. Yeye si mgeni katika anga za muziki. Kwa muda sasa amekuwa akifanya kazi zake nchini Marekani. Amewahi pia kufanya maonyesho kadhaa nchini Tanzania na hivi sasa anajiandaa kufyatua album yake. Sikiliza wimbo wake unaoitwa 'Siku ya Kifo ' kwa kubofya hapa.
Pia tembelea libeneke lake kwa kubofya hapa.
heeeeeeeeeeee jamani patrick kumbe haupo bongo.mungu akubariki sana tunasubili nyimbo zako mpya ,songa mbili na yesu.barikiwaaaaaaaaa
ReplyDeleteMichu hii link ya kwenda kwenye blog yake ina virus. Just a precaution!
ReplyDeleteBeing blesd much bro Patric and i hop ull do the best than ur expectations because God is with u all the time.
ReplyDeleteI real get happy after seeing u again coz its a long tym havent heard from u.
Hope to see u again in Tanzania
i do remember ur songs kaka hasa CHA KUTUMAINI SINA
and others kaka kwan nikizisikiliza nakukumbuka sana .
wish u all the Best in ur everyting for God's power.
Helow to all there
MBAWALLA-DSM
patrick nimekumind kinoma noma zinga la handsome boy sasa unasemaje tuunganishe. mimi niko new york
ReplyDelete