Patrick Newman
Yeye ni Mbongo, msanii wa muziki wa Gospel ambaye makazi yake ni pale Seattle,Washington nchini Marekani. Yeye si mgeni katika anga za muziki. Kwa muda sasa amekuwa akifanya kazi zake nchini Marekani. Amewahi pia kufanya maonyesho kadhaa nchini Tanzania na hivi sasa anajiandaa kufyatua album yake. Sikiliza wimbo wake unaoitwa 'Siku ya Kifo ' kwa kubofya hapa.
Pia tembelea libeneke lake kwa kubofya hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. heeeeeeeeeeee jamani patrick kumbe haupo bongo.mungu akubariki sana tunasubili nyimbo zako mpya ,songa mbili na yesu.barikiwaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. Michu hii link ya kwenda kwenye blog yake ina virus. Just a precaution!

    ReplyDelete
  3. Being blesd much bro Patric and i hop ull do the best than ur expectations because God is with u all the time.
    I real get happy after seeing u again coz its a long tym havent heard from u.
    Hope to see u again in Tanzania


    i do remember ur songs kaka hasa CHA KUTUMAINI SINA
    and others kaka kwan nikizisikiliza nakukumbuka sana .
    wish u all the Best in ur everyting for God's power.
    Helow to all there

    MBAWALLA-DSM

    ReplyDelete
  4. patrick nimekumind kinoma noma zinga la handsome boy sasa unasemaje tuunganishe. mimi niko new york

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...