Shamim Zeze, Afisa Mwendeshaji wa DarHotwire


ULISHAWAHI KUWA MEMBER WA DARHOTBOARD ' DHB FORUM' SASA NI WAKATI WA KUKANDAMIZA UPYA TENA BAADA YA DHB KURUDI KISASA ZAIDI.

HIVYO BASI UNAITWA KAMA ULIKUWA MEMBER INGIA KWA JINA LAKO LILE LILE AU LA JIANDIKISHE UPYA, TUANZA MAKAMUZI UPYA.

WAPI MASAKI,BABY KIBAKI, MSJACQUE,LIVECAT,MC ZOBIZOBI,GAIZKA,BIMKORA,DUMISANE,GEEQUE,MALIWAZA.


MALISAK,FUNZADUME,NAILA,JANNY,LUCKY ONE,DR MUATHU, JENSALS,SUPER GIRL, GAIZKA,


DINAH, MCHAICHAI, MADOIDO,KASUKU,PAPAK,


TZKWELI,MTOTOWA MJINI NA WENGINEO WEEENGI NI WAKATI WAKUJUMUIKA UPYA NA KUANZA KUSOGOA KAMA KAWA

BOFYA
http://www.darhotwire.co/forums
KARIBU SANA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. DHB kipindi kileeee, ilikuwa raha juu ya raha, tutarudi tu msiwe na shaka! We have missed a lot.

    ReplyDelete
  2. Mimi nilikuwa memba kwa kuwa sikuwa na option yeyote ile. Kule kuna watu wanatukana matusi sijawahi ona. Utafikiri mwanakunywa maji taka sitaki kabisa na wewe ushindwe ilikuwa kama ze utamu. Mimi na mMicuzi tu basi. Nakumbuka shida alikuwa anaweka mambo ya kikubwa tu we acha

    Observer

    ReplyDelete
  3. ebwana eeh wapi cash money wapi Makonde king MeNtali Cath cha matusi mrudi manake naona wale watu wa DHW wengi wapo hapa majina hayajulikani Ankali wewe ulikuwa unajiita nani kule DHW

    ReplyDelete
  4. Nondo GheeMarch 04, 2010

    Kweli ilikuwa bomba mimi my wife nimempata kupitia DHW ..

    ReplyDelete
  5. Yaani Zeze alikuwa na haraka ya kutuma msg mpaka anakosea, badala ya kuandika dot com anaandika dot co.

    Anyway, DHB sijui kama inaweza kurudi kama ile ya zamani, zama zile ilikuwa funga kazi. Ilikuwa ikipotea kwa siku utadhani imepotea kwa mwezi mzima.

    Hata kama itarejea, members wengi nimeona wako JF na wengi wao naona wamekuwa wana siasa. DHB ilikuwa na mada nyingi sana za mapenzi na mapendo na porojo motomoto.

    Walifanya kosa kubwa kuiua ile ya zamani sana wakaanzisha mpya nayo ikadoda, sasa sijui watakuja na nini kipya ambacho kitavuta wana chama wengi. Labda wabadilishe mtazamo, maana JF ina wana taaluma, wanasiasa, viongozi wa serikali na vyama vya siasa.

    Kila la Heri ZEZE, Shileshi na Team.

    ReplyDelete
  6. Huyu Shamim kila nikiona picha yake hayo macho yananiacha hoi ana macho ya kufilisi mwanaume.

    ReplyDelete
  7. mama sasa kutupa majaribu sie viumbe wezako kwanini lakini???au ndo DHW na mvuto ili tujae wanachama ??????????????????

    yani mama me ilo jicho na rangi yako adhimu tu!shauri lako wee jibandike umu maana hatujali wether una watoto 10 au waume 50,,,tukiku......

    pliz

    ReplyDelete
  8. Hii Darhotwire ni kitu ya juzi yaani imeshachuja rangi. Watu wote kule sasa hivi wana watoto na familia na wamkutana kule kule labda Re-Union

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...