Tovuti mpya ya Southern Highlands School imezinduliwa!
Tafadhali tembelea ujionee mwenyewe.
Constructive criticism is welcome!
www.southernhighlands.ac.tz
Mdau wa Mafinga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Mwaushe OhiwaMarch 15, 2010

    Haya matumizi ya hizi domain names tuwe makini. nadhani si busara kutumia .ac.tz kwenye shule za sekondari hata chekechea maana .ac.tz ni kwa matumizi ya vyuo tena vyuo vikuu. Tujifunze kwa wengine matumizi ya hizo domain names. Hii ni kama libeneke lile lile la kuwavika majoho watoto wa chekechea.

    Huu ni mtazamo tu.

    ReplyDelete
  2. I think .ac.tz is reserved for all academic institutions irregardless of what kind. I may be mistaken though, but it surely says this is an academic institution in Tanzania! I like that!!!

    ReplyDelete
  3. mbona hakuna pages zingine za kusoma. ni hiyo 1st page tuuuuuuuuuu
    mposti mkiwa tayari

    ReplyDelete
  4. WEWE NANI KWA KUAMBIA ac.tz NIU KWA VYU TU WAPI IMEANDIKWA HIVYO? KAMA NI KWA VYUO VIKUU MBONA VYA KWA MFANO U.S.A, CANADA AUSTRALIA HAVINA DOIMAIN KAMA HIYO. NI VYA U.K. NDO VYENYE DOMAIN HIYO ACHA USHAMBA. HATA SHULE YA CHEKECHEA NI SEHEMU YA ACADEMIC

    ReplyDelete
  5. yah kwa kweli wabongo hatujui umuhimu wa kufanya mambo yaliyo kamilika...sasa kwakwei mtu unatangaza website yenye page moja with almost no info.. for what? yaani completely pointless..samahani kwa hilo ila its too much ..tabia ya ukurupukaji tuiache..sasa unadhani kuna wangapi wataitembelea tena hiyo site baada yakuangalia kwa mara ya kwanza??!! yaani wabongo...duh..sometimes tunaacha kutia hasira tunabaki kutia huruma...anyway tutafika ...i hope..

    ReplyDelete
  6. Nakubaliana na comments zote isipokuwa hiyo comments no.1 hivi Tz hamna kabisa IT study??? Yaani huyu jamaa amepost 1 page webbsite yaani hata mimi ambae sijachukua IT major hapa USA naweza kutengeneza Website sio page moja damn!!

    ReplyDelete
  7. Nadhani tatizo ni kuwa hawaja-design website ambayo inafunguka katika browser zote. mimi natumia mozila firefox na website inafunguka vizuri na hizo link zilizopo kulia zinafunguka ila nilipojaribu kuifungua kwa internet explorer ilionyesha page moja tu na link hazikuonekana

    Ushauri kwa web designers wanapodesign websites wajaribu kuzifungua kwenye browsers mbalimbali au na kama utashindwa kuifanya website yako ionekane vizuri kwa baadhi ya browsers basi ni vema kuwajulisha watu ni browser gani watumie kufungua hiyo website

    ReplyDelete
  8. Mimi nimetumia mzolla na jamaa mwingine hapa ofisini katumi IE7 na zote zimefunguka ingawa yangu ilihitaji kureload on some pages. All in all, I think its gud initiative kwa shule hiyo na TZ kwa ujumla.

    ReplyDelete
  9. Mdau wa Elimu BongoMarch 16, 2010

    Ukiclick kwenye hiyo pich itafunguka kweli page moja. Clik kwenye link na inafunguka mara moja! Mozilla Firefox ndio nilioifungua mimi. I must say it is an informative website and looks like its a good school- passmark zipo juu!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...