Hivi ndivyo hali ilivyo katika uwanja wa ndege wa Arusha Airport siku ya kawaida ambapo maboresho yanajionyesha wazi bila kificho. parking ya ndege nayo ipo safi na hata baadhi ya majengo ya wageni yameboroshwa kwa kiasi kizuri. Pongezi kwa wahusika kwa kuoberesha uwanja huu ambao ni nyenzo muhimu kwa utalii ukanda wa kaskazini. Haya na mengine mengi kuhusu utalii yanapatikana kwa mdau KK kupitia libeneke lake bomba la http://tembeatz.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Safi sana.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  2. safi kabisa waboreshaji wa uwanja mdogo wa ndege arusha. Ila tatizo bado lipo kwa hizi hub zetu za kimataifa ambazo zinatakiwa zitoe watalii huko mbali na kuwaleta hapa nchini. Hapa nina maana ya viwanja vyetu vya kimataifa vitatu ambavyo navyo ni Kilimanjaro(KIA), Julius Nyerere (DAR) na Zanzibar. Kwa kweli hivi viwanja vinahitaji upgrade ya hali ya juu kabisa ili kukidhi mfumuko wa wageni wanaokuja hapa nchini.
    Kero kubwa imebaki pale DAR na sijui hili linashughulikiwaje kuanzia njia za ndege, jengo la abiria, miundoimbinu ya kupokea mizigo hadi uhamiaji kunahitaji serious uplift.
    Kule Zanzibar nako kunahitaji upanuzi wa ndani na nje ya kiwanja wa haraka. pale KIA angalau kuna ka-mpangilio kadogo ila nako kunahitaji a major uplift to compete and fish passengers wanaotumia Jomo Kenyatta...na kama feed up ya zaidi ya asilimia 80 ya watalii wa Tanzania.

    ..Wakati Tanzania tunasinzia katika sekta hii ya miundombinu nchi kibao za Afrika zilizo kusini mwa mstari wa Ikweta zimekuwa serious kupanua viwanja vyao vya ndege katika hali ya juu mno ambayo hata wageni wanashangaa....wakiwa wamejiandaa na FIFA 2010 and Beyond..sihitaji kuzitajka nchi hizo..
    ......Kaka Issa kama kawaida kila nikiongelea usafiri wa anga nagusia msisitizo wa kuiokoa hii Kampuni yetu ya ATCL ambayo inatakiwa itumie hivi viwanja kama hub zake..

    ReplyDelete
  3. Kaka Michuzi samahani sana, lakini hapa kiswahili unakipotoa, nadhani haikupaswa kuwa "uwanja wa ndege wa Arusha Airport" ilipaswa kuwa aidha "uwanja wa ndege wa Arusha" au "Arusha Airport" lakini kwa mantinki ya kukihuisha na kumind lugha yetu fisrt option itakuwa bomba

    ReplyDelete
  4. Techno Brain MarketingMarch 17, 2010

    A Tanzanian company, Techno Brain Ltd, out of Dar-es-Salaam, is responsible for implementing an Airport Revenue Management System (aka Airport Landing & Parking System). This system is also implemented at JNIA and KIA, significantly assisting in airport revenue and fees collections.

    Check the out at: http://www.technobrainltd.com

    ReplyDelete
  5. We Anony wa Wed Mar 17, 08:22 AM ni Guest Mgeni humu Bulogini nini?

    Kama ni mgeni basi karibu.
    Hii ndio language ya lugha yetu humu bulogini Kaka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...