Home
Unlabelled
mambo ya GADO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
...na huo ni Rais wa nchi ipi haswa? Ni wa - Tanzania, Kenya, Uganda au SMZ?
ReplyDeletekaka yanga vipi leo? naona umetusahau kabisa
ReplyDeletehah!
ReplyDeleteThis is funny lakini kuna ukweli fulani. Ni vitu vingapi vinasimamiwa au kuongozwa hapo bongo na watoto wa baba? Sio lazima awe mtoto wa raisi tu...hata wale wazee waserikali wabunge, mawaziri etc etc...Nikianza kuname names hapa mbuge ataitupia kapuni comment yangu
ukiangalia hiyo kazi au position ilitangazwa lini wala huoni, tenda kama ni tenda ilitolewa lini wala huoni....Unaambia acheni wivu ni mchapa kazi hodari...tupe nasiye uone kama sio wachapa kazi hodari
Hapa namkubali GADO yuko gado kwenye fani. Ni kweli haya mambo ni kama ya Musix mzee wa pama. Aminia bro Gado hata CNN wanakupata. Peleka msg Afrika bado tunaishi Kitemi mno.
ReplyDelete