Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. ...na huo ni Rais wa nchi ipi haswa? Ni wa - Tanzania, Kenya, Uganda au SMZ?

    ReplyDelete
  2. kaka yanga vipi leo? naona umetusahau kabisa

    ReplyDelete
  3. hah!
    This is funny lakini kuna ukweli fulani. Ni vitu vingapi vinasimamiwa au kuongozwa hapo bongo na watoto wa baba? Sio lazima awe mtoto wa raisi tu...hata wale wazee waserikali wabunge, mawaziri etc etc...Nikianza kuname names hapa mbuge ataitupia kapuni comment yangu

    ukiangalia hiyo kazi au position ilitangazwa lini wala huoni, tenda kama ni tenda ilitolewa lini wala huoni....Unaambia acheni wivu ni mchapa kazi hodari...tupe nasiye uone kama sio wachapa kazi hodari

    ReplyDelete
  4. Hapa namkubali GADO yuko gado kwenye fani. Ni kweli haya mambo ni kama ya Musix mzee wa pama. Aminia bro Gado hata CNN wanakupata. Peleka msg Afrika bado tunaishi Kitemi mno.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...