SINGLE: MIKE TEE - I LOVE U (TANZANIA)

PRODUCED BY: HERMY B

COMPOSED BY: MIKE TEE

STUDIO: B-HITZ / MYKEY RECORDS

SOUND ENGINEER BY: PANCHO
Genre: Bongo Flava & Rap

Tanzania based singer-songwriter Mike Tee, is back on the game and taking us again to his roots as an bongo flava artist with his new hits single "I LOVE U". The song produced by his B-HITZ STUDIO/ MYKEY RECORDS.It's an amazing song and clubbing track.....Support MIKE TEE support MIKE TEE forever
"The Best Rapper From Nyalu Land ..."

VIDEO IS OUT LINK ON YOUTUBE.COM
http://www.youtube.com/watch?v=kgyf2jt2Fas

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Mimi sio mtaalam wa music production lakini hii kitu imetulia sana ila nafikiri ungeweza kuongeza some beats maana ni kama iko flat kidogo kwa beat ya aina moja mwanzo mpaka mwisho,ila ngoma nzima ni ni kuwarusha watu club bila tatizo na huyo demu ni plus nyingine ndani ya video...ila all in all good job!

    ReplyDelete
  2. karibu kwenye game mike t..pini limesimama ile mbaya

    ReplyDelete
  3. Mike Tee

    Umerudi vyema kaka. Nyimbo nzuri.

    Kitambi kileeee....

    ReplyDelete
  4. demu bomba saanaaaa wimbo mh!

    ReplyDelete
  5. Am Afraid Watanzania tutakosa muziki wa kujivunia kama hii ya Mike Tee katuwekea beat za za kuiga mno just like wimbo wa T-Pain hivi au Lil Wayne angeimba tuu zile zake za siku zote

    ReplyDelete
  6. Wimbo sijavutiwa nao sanaaaa, ila huyu demu umbo lake limenivutia saanaa,,,, naomba contact zake kama siyo mke wako plz...

    Baghdad Blogger.

    ReplyDelete
  7. utunzi wa kawaida sana.
    Yaani picha ya msichana inafunika wimbo (sidhani kama hilo ndio kusudi).
    Bongo flavors muwe mnapata washauri kabla ya recording au shooting zenu!

    ReplyDelete
  8. Kwa jinsi vijana wa flavour za kibongo walivyo tite kwenye game kipindi hiki inabidi ufanye kazi ya ziada sana kurudia kwenye chati. Pull up ur sox man.

    Poor shooting, poor composition, poor beat. Demu tu uliyeshoot naye ndiyo mkali.

    Ankal Misupu usinibanie, kwenye ukweli wacha tuongee.

    ReplyDelete
  9. Video imetulia sana. Mzee mzima imebidi nisogeze kiti chini ya meza. Mzee wa titis na pajas umeona? Bongo nafikiri ndio sehemu pekee duniani yenye watoto wazuri hivi.

    ReplyDelete
  10. Kwaliti ya picha ni nzuri ila wimbo sijakubali.Ila nina imani na kiwango cha Mike Tee.He can definately do better than this!

    ReplyDelete
  11. Mimi nyimbo haijanistua hata kdg, simple tu...no creativity yeyote... Naona sasa tuna Ay tu ndio yupo serious na game.

    ReplyDelete
  12. Labda kwa vile ninaishi huku kila kukicha kwenye radio ni manyimbo haya haya. Nikiwa nasikia mtu anasema wimbo wa Tanzania nawish kusikia beats zetu...Nikishasikia haya haya mabeats yao just kwa kishwaenglish wala siinjoy.

    Labda kuna watu watakao upenda lakini mimi nooooo.....Sorrry That's is just me.

    ReplyDelete
  13. For real, huyu jamaa kachuja. Kwanini asitumie sauti yake ya kawaida? Auto tune za nini mnyalu? waachie akina T-PAIN...

    ReplyDelete
  14. acheni kuiga miziki ya kimarekani! if i want to listen to hiphop i will find the original version from usa.. you are losing originality of bongo flava
    tutaanza kusikiliza genge sasa naona ndo angalau iliyobaki na vionjo vya kiafrika

    ReplyDelete
  15. kweli ni kipaji..mike t welcome back ure funz missed u mbaya aisee...video kali,lyrics kali,beat kali yaani full!

    ReplyDelete
  16. Wenye kuosha vinyhwa wache waoshe lakini muziki umetulia,mwenyewe umetulia, projuza anajua vitu vyake na kwa bongofleva we acha tu na kwa mistari naiona ipo taiti na mtoto usiseme halafu anajua kwelikweli kwani zile close up mwenyewe dede wape tisa projuza na dairekta wako halafu mpe 10 bibiye yupo kiukwelikweli si kikazi pekee

    ReplyDelete
  17. Kuponda jadi yetu. Especially kwakuwa tunajifanya tunajua sana. Na hicho ndio kipaji chetu kwakuwa hatuwezi lolote.

    No matter wat mdogo katoka bomba na video yake imetulia.

    Wabongo kunjueni mioyo na tupendane na ukiweza toa yako mshindane sio kuponda tu kila jambo

    ReplyDelete
  18. Mdau anon 19:40 AM.

    Mbona unachemka bwana mdogo. Wewe unataka comments za kusifia tu - upuuzi?? Hakuna anayeponda.

    Watu wanatoa maoni yao kulingana na mtazamo wao. Kubali ukosolewe and then take all that as challenges.

    ReplyDelete
  19. Nice one man.. welcm back..i lov d versez, shorntg, then the beat nilikisiklza i fll dancng.. good one bro!haterz wapo hawaepukiki.. just do ur thing man...big up... as u knw siku hazigandi kaka....
    its B.

    ReplyDelete
  20. Kamwene Mnyalukolo,mnogage veya! Hebu tuambie Mwagito hako katoto kwenye picha ni kako kweli au wamekusaidia wajanja manaake hamna dalili ya kufanana hata kidogo, usije ukatuletea watoto wa watu huku Iringa. Haya bwana niangusage sauli yako sambi sako mwenyewe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...