Break Point ya Ukerewe: The New Vincents Restaurant ni kiota cha maraha cha mji wa Kusoma kinavyoonekana kwa nje usiku wa kuamkia leo. hapo wamatumbi wa kila nchi za kiafrika utawakuta wakipata ile kitu roho inapenda na kilaji
ankal akiwa na wadau wa mji wa Kusoma katika kiota cha Vincents

New Vincents inavyokuwa kwa ndai
ankal akipiga stori na wenyeji wake
anko akiwa na mam'dogo
Supu ya pweza ndani!

ankal akipoga chiazzzz na msanii francia
anko akipiga pool









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Uncle,picha ya pili,mwambie huyo sister mwenye white,second right kwamba mazoezi ni muhimu

    ReplyDelete
  2. michuzi,chunga WALLET yako,huko Reading vibaka wengi tu.Sisi wengine tunaogopa hata kwenda huko

    ReplyDelete
  3. Duh kweli dunia ndogo, huyu si Francia John? Sijamwona long time tangu nimuache primary school,dar enzi za 1980's. Kumbe ni msanii, big up.

    ReplyDelete
  4. ki restaurant kichafu jamani! vitamba gani hivyo? angalia vizuri ankal, usafi ni muhimu sana!

    ReplyDelete
  5. Mzee hapo umetuangusha vipi konooozz!!!!!!

    ReplyDelete
  6. ndo ka mradi ka mzee wa vijisenti?

    ReplyDelete
  7. ANKAL IS NOT FUN SASA NA HIO FULANA YAANI UMESHINDWA HATA SHATI JEUSI UTOKE SMART KIDOGO BASI FULANA NYINGINE BASI,ACHA UBAHILI WA KIMATUMBI MWISHO UTAWAKIMBIZA WATU KWENYE MIKONOZZ WAKIOGOPA KIKWAPA,JAPO I HOPE HUNUKI KIKWAPA ANKAL.

    ReplyDelete
  8. ankal pole na kazi ngumu ya kukimbia hapa na pale. Mimi langu ni moja tu hivi watu maisha yakiwashinda ndo wanakuwa wasanii au wanakuwa wanadini? swali langu linalenga dada yetu msanii francia alikuwa mlokole sasa msanii wa nyimbo za dunia tumuelewe vipi dini imemshinda au maisha magumu maana alikuwa hawezifika club enzi za Noel

    ReplyDelete
  9. michuzi usinibanie comment yangu, kunawatu niwaasisi ya hii pub huwezi wakosa mfano Riziki anapiga box saa ngapi jamani tuwajibike

    Mdau Reading

    ReplyDelete
  10. Ankali msanii wetu Francia anataka ujana ndo maana kajikondesha kaacha mtoto na mume na kaamua aponde maisha big up dada ponda maisha kifo chaja.

    Mdau Bongoland

    ReplyDelete
  11. Duh huu mji wa kusoma umechoka kweli.... yaani arusha kuzuri mara mia moja. washkaji wa reading pub zenu ni choka mabayaaaaa.

    ReplyDelete
  12. Ehh ehh!
    Mna hatari nyie, supu ya Pwezaaaaaaaaaaa! Mi sisemi kitu baada ya kuinywa hiyo supu ya Pweeeeeeeeeeeeeezaaaaaaaaaa!

    Mdau Mvuvi wa Samaki

    ReplyDelete
  13. Kweli hii kona ya kimatumbi manake hata vitambaa va meza full matumbiz

    ReplyDelete
  14. ZE FULANA'Z

    ReplyDelete
  15. Ankal, supu ya pweza ugenini iepuke kaka isije kukuletea tabu.

    ReplyDelete
  16. haters acheni hizo. huyo dada msanii yuko bomba anavutia. acheni ajirushe bado angali mbichi maisha yenyewe haya mafupi. nani kasema mlokole haimbi nyimbo za kidunia? alimradi asichojoe nguo wakati akiimba. michuzi usibanie hii maana umeshabania maoni yangu kabla.

    ReplyDelete
  17. kwani we ninani katika tanzania hii unavyohutubia we ninani jibu rais ahutubie nawewe uhutubie fx hiyo

    ReplyDelete
  18. Duh namwona MC wetu wa Coventry full uswahili, usije tena huku kutuharibia shughuli zetu !!

    ReplyDelete
  19. Picha ya pili dada mwenye kanzu nyeusi next to you uncle anaitwaje? nimemfananisha na mtu ambae mara ya mwisho nilijuwa kuwa yuko USA na hapa anaonyesha amepata mwili kidogo. jee huyu dada ni Prisca Kamugisha?

    ReplyDelete
  20. Hongera Francia kumbe na wewe umekuwa msanii.
    Duuuu sijakuona toka 1980's tukiwa wote pale oysterbay primary school.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...