wajumbe wa mkutano
wajumbe mkutanoniMkuu wa watanzania waishio Gauteng ulifanyika tarehe 14 Machi 2010
kwenye ukumbi wa Kempton Park Civic Centre, Kempton Park, Johannesburg,
Afrika Kusini na kuhudhuriwa na watanzania wengi pamoja na Kaimu Balozi wa
Tanzania nchini Afrika Kusini, Peter Kabissa.
kwenye ukumbi wa Kempton Park Civic Centre, Kempton Park, Johannesburg,
Afrika Kusini na kuhudhuriwa na watanzania wengi pamoja na Kaimu Balozi wa
Tanzania nchini Afrika Kusini, Peter Kabissa.
Pamoja na mabo mengi yaliyojadiliwa, mkutano huu ulipitisha katiba ya
jumuiya na kuchagua viongozi wa kudumu wa jumuiya hii. Wafuatao
waliochaguliwa kuwa viongozi wa umoja huu:
1. Dk. Faustine Ndugulile-Mwenyekiti
2. Bw. Laurean Rugambwa-Makamu Mwenyekiti
3. Bi. Josephine Mshilla-Katibu Mkuu
4. Bw. Khalfan Kipemba-Katibu Mkuu msaidizi
5. Bw. Joseph Mshilla-Mweka Hazina
6. Bw. Kassim Kissagalah-Mweka Hazina msaidizi
7. Bw. David Mataluma-Katibu wa utamaduni na burudani
Wajumbe kamati ya utendaji
8. Dk. Robert Ngude-Mwakilishi wa kundi la wafanyakazi
9. Bw.Vincent Malugu-Mwakilishi wa kundi la vijana
10. Bw. Abuu Chenja -Mwakilishi wa wafanyabiashara
11. Bi. Jane Gitonga-Mwakilishi la kundi la kinamama
12. Bw. John Sagati-Mwakilishi wa kundi la wanafunzi
13. Bw. Jumanne Fikha-Mwakilishi wa Ubalozi
Viongozi waliochaguliwa wanatarajia kukutana hivi karibuni na kuweka
mikakati ya kuiimarisha jumuiya hii.
IMETOLEWA NA UONGOZI
TAREHE 16 MACHI 2010


Habari ndugu zangu mnaoishi hapo nchini South Africa. Ni faraja kuona mnashikamana na kujenga umoja wenu. Mimi pia niliishi hapo SA kwa takriban miaka sita tena nilikuwa naishi hapo Arcadia karibu na Umoja house. Uwezi amini kwa jinsi hao maofisa kwa ubalozi walivyokuwa wanadharau na kudhani kila mtu aendaye hapo ana matatizo ilinifanya niishi miaka yote hiyo na kufika hapo mara moja tu wakati nahitaji kurenew passport yangu. Tena ilikuwa ni aibu sana kulikuwa na bar/pub moja ilikuwa pale nadhani Pretorius street inapokaribia Loftus kuna gari ya ubalozi wetu S-Class moja ya Dark Blue(Not sure if I can remember the plate No.) ilikuwa kila siku inapaki pale mpaka late sana. Rafiki zangu walikuwa siku zote wakiniuliza hivi watanzania wanapenda pombe kiasi hichi. Siku nilipofika ubalozini ilinibidi kusubiri kwa kama dakika 45min kwa kuwa the lady who was to attend me alikuwa anakula fruit salad, if I recall well at that time the Hon. ambasador was some lady I guess just after Hon.Mpungwe. I still remember those days my dear Tanzanians. Hao watu wa embassy walikuwa hawana msaada wowote ule. Good for you kwa kujipanga kuwa na ushirikiano.
ReplyDeleteHongereni pia kwa kupata balozi mpya.
Awali ya yote napenda kumpongeza kaimu Peter Kabissa kwa kujaribu kuboresha mahusiano kati ya watanzania na ubalozi.
ReplyDeleteTumefanikiwa kwa kiasi kikubwa kufufua tena umoja huu kutokana na msaada mkubwa ambao tumekuwa tukipata toka ubalozini.
Natumai kuwa Balozi mpya, Mama Radhia Msuya, atakuwa karibu na jamii ya watanzania wanaoishi Afrika Kusini.
Mdau
Faustine
Imefika wakati sasa jumuiya zote za kitanzania zilizopo nje ya nchi ZIWE WATCH DOG ZA BALOZI KIUTENDAJI. kama tunaona barozi haziwajali watu wake we have to write partition Barozi aweze kuadhibiswa au kibarua chake kiote majani i want this embassy to get it wat there for kwa mfano India jamani!! hivi hamna barozi pale??? watanzania unganeni partition tumeni malalamiko yenu kwa Preident mutaona matunda yake.
ReplyDeleteLaurean Rugambwa.... mhhh!!! kuna majina mengine hayapaswigwi kuigwagwa. mhhh!!!!!
ReplyDeleteBALOZI bana siyo 'BAROZI' agrrhhh!
ReplyDeleteNini kigumu hapo?