Suzzan Mungy wa TBC-1 akiwa kashika jembe mwenyewe wakati wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa TZUK katika ukumbi wa Sattavis Patidar center jijini London usiku wa kuamkia leo. Kupata kuona video kadhaa ya kilichojiri mkutanoni hapo ikiwa ni pamoja na mijadala BOFYA HAPA

Jamani Suzanne anawaka namna hii. Ehe, Innocent anajidai.
ReplyDelete