Habari za leo Kaka Michuzi na pole na kazi ulizokua nazo za kutuhabarisha yanayojiri pande zote za Tanzania, katika kuendeleza libeneke nimeona nishiriki kwa kukutumia Blog hii inayotambulika kwa jina:
TANZANIA A PERFECT PLACE FOR YOUR HOLIDAY
Blog hii inatambulisha zaidi secta ya utalii Tanzania na kuhamasisha juu ya utalii Nchini kwetu ya kua si watu toka nje tuu ndo waje tazama vivutio mbali mbali bali hata mtanzania yoyote anayo nafasi ya kutembelea maeneo hayo.
Ikiambatana na tovuti yake hapa chini,
http://www.tanzaniatours.blogspot.com
email: tanzaniatourz@gmail.com

WOTE MNAKARIBISHWA
Salam kwa wanalibeneke wote Pamoja

tunawakilisha blog ya jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...