Mzee Digalo is a celebrated drummer in Bagamoyo town. After retiring from the art college he started teaching music to children in the neighbourhood in the afternoons.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera mzee Digalo kwa kuendeleza utamaduni wa sanaa na kuwafanya vijana wawe na shughuli za ziada badala ya kuzurura tu. Natumai wizara husika wanatambua umuhimu wa shughuli yako na wataweza kukuconsider katika kupata vitendea kazi vizuri zaidi. Great job!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...