
Hey what’s up everybody! I thought the Producers in Tanzania have improved a lot but I guess I was wrong! Two and Half years ago, I made a beat and named it Block Running, I sold it to one of the Label called Koch Entertainment of New York with an agreement that wherever this beat goes my name gotta be there as a beat maker of this beat.
Two days ago I was shocked when one of my friends from Tanzania sent me a song with the same beat I made 2 and half yrs ago! And I didn’t hear my name on the track. All I heard is Marco Chali.
So I called Koch Entertainment to ask what’s going on. Koch Entertainment management were so surprised to hear the news. So they told me to send the song to them and I did, they asked me if I ever sent the beat to MJ Records of Dar-es-salaam, Tanzania. I told them I never did but had put the beat on iTunes so people can buy and use it for promotions and not for any other type of business. But MJ Records used the beat without permission from Koch Entertainment and also they didn’t follow the agreement we signed that wherever this beat goes my name gotta be there as a beat maker!
I don’t have any rights of complaining this issue to MJ Records that why my name wasn’t on the song as a beat maker. All I will do is to take Koch Entertainment to court and they will deal with MJ Records. The only thing I am gonna deal with is if MJ Records bought this beat from iTunes. If they did why they used it for the business!!?
So I called Koch Entertainment to ask what’s going on. Koch Entertainment management were so surprised to hear the news. So they told me to send the song to them and I did, they asked me if I ever sent the beat to MJ Records of Dar-es-salaam, Tanzania. I told them I never did but had put the beat on iTunes so people can buy and use it for promotions and not for any other type of business. But MJ Records used the beat without permission from Koch Entertainment and also they didn’t follow the agreement we signed that wherever this beat goes my name gotta be there as a beat maker!
I don’t have any rights of complaining this issue to MJ Records that why my name wasn’t on the song as a beat maker. All I will do is to take Koch Entertainment to court and they will deal with MJ Records. The only thing I am gonna deal with is if MJ Records bought this beat from iTunes. If they did why they used it for the business!!?
I put the song which Producer Marco Chali of MJ Records produced last year and my beat I made 2 and half years ago so you guys can compare and tell me if this beat is the same or not the same.
Thanks.
Stiggo Ibrahim,
S&S Records-NY
Stiggo Ibrahim,
S&S Records-NY
To listen to the song/beats in question
pana kazi sana hapa.Mziki-Instrument ni yenyewe, hasa watalaam wa kuandika Note watakuambia vizuri. lakini mj records kafanya kama re-mix ili kuiba vizuri. mshitaki akupe nusu ya pesa. Iwapo maiko jackson aliipa kwa kugezea tu maneno ya Manodibango"nakusamba-kusamba macosa" hata matamshi hayafanani lakini akalipa, itakuwa sawa tu kama na hawa nao watalipa. wamefanya re-mix ili kuondoa ukweli.Wameiba
ReplyDeletePole Stiggo,
ReplyDeleteWasanii wa Tanzania (hasa producers wa kizazi kipya) wanachojua wao ni kucopy na kupaste tu.
Nenda kortini, ukadai haki yako.
Maco should apologies to the public
ReplyDeletehuyu jamaa naona ana matatizo na frustration za huko alipo, we umeshaipa kampuni beat isimamie iweje kiherehere uiweke itunes? bongo sasa ipo juu sana ila watu waliopo n'gambo mda mrefu wanadharau wanafikiri ni miaka ileee, watu vipaji kibao na ma producer ni wengi na wapo juu na vifaa vikali zaidi, nikiangalia tu hicho ki mixa chake ni kama ka kuchezea mtoto, aangalie studio km. za lamar, hermy B aone mitambo na atambue bongo tupo mbali. yaani yy ka beat kamoja tu ndio analiaaaa, MJ washatoa mitwango kibao bila hizo shutuma.
ReplyDeleteBWANA MDOGO KUA NA UACHE UJINGA NA MADHARAU
Yale...yaleeeeeee....Ni KWELI hizo ndizo style za bongo,MJ ULIDHANI SIRI EEEE. WIZI MTUPU. kuweni wabunifu.huku kuiga kuiga hakutawapeleka level za kimataifa. au mnadhani akina Dr.Dre wako hapo walipo kimiujiza? ni kuumiza kichwa tu. ona sasa MJ inafilisiwa. Safari hii mmegusa pabaya. Pole sana stiggo!
ReplyDeleteHiyo beat ya Bullet ya wasanii Quick Rocka na QJ ni ya Marco Chali, acha kudesa wewe stigo, tena ushahidi tosha upo siku anatengeneza hiyo Beat, sikuhiyo nakumbuka Computer ilikuwa inazingua...acha mbwembwe, wazawa wakiweza mnasema wameiba, wakiiba mnasema wameweza...geuzeni maneno, na kama ni ya kwako toa ushahidi.
ReplyDeleteHAPA KUNA MAMBO KADHAA YANAYONITATIZA KUTOKA KWA KIJANA HUYU MUSIC PRODUCER
ReplyDelete1: KWANINI ULIWEKA iTUNES? KAMA KWA JILI YA PROMO JE HIZO PESA ULIZOPATA ZIPO NJE YA MKATABA WAKO PIA?
2: KAMA KWELI MARCO CHALLI AMETUMIA JE NI WATU WANGAPI WAMETUMIA BEATS HIYO DUNIANI KWA UJUMLA? (MAANA HUYO UNABAHATI NI MTZ MWENZIO)
3: UNATENGENEZA BEATS NGAPI KWA MWAKA NA JE KUNA MSAANII YEYOTE AL MAARUFU ALIYETUMIA TAYARI?
HUNA JIPYA NDUGU YANGU NADHANI KUBALI KUWA MTAFUTAJI HACHOKI, MAANA BAADA YA MIAKA 2 KOCH HAWAJAKUAMBIA LOLOTE....WADAU WOTE TUNAFAHAMU HILO KUWA HAPO HAPAKUWA NA KITU CHOCHOTE KIPYA....
LABDA NI WAKATI MZURI WA KUTAFUTA SOKO LAKO HAYA MAENEO YA EAST AFRICA.
kuna mambo inabidi wewe stigo utueleweshe. Unawezaje uza kitu kimoja mara mbili na bado ukabaki na haki ya kuwadai wengine walionunua toka kwa mmoja kati ya uliemuuzia?
ReplyDeleteNa la pili na la mwisho, hii kitu inayoitwa sampling inamaanisha nini?
Kweli kuna Watanzania wavivu wa kufikiri.
ReplyDeleteMtu Beat yake na kaamua kuiweka iTune, nyie mnakuja kumuuliza kwa nini aliieweka iTune??!!
Badala ya kumhoji MWIZI wa Beat..mnamuuliza mwenye Stiggo kwa nini aliiweka iTune kana kwamba yeye ndio kaiba..???!!!
Niyie vipi??
Maco ni MWIZI WA BEAT ya watu.
WIZI MTUPU
ReplyDeleteIpo Nyimbo nyingine ya BENJAMINI inaitwa NIMEFULIA katumia beat ya MISS INDEPENDENT ya NEYO
Wabongo ss baadhi yetu ni mambumbumbu, na wavivu wa kufikiri haswaaaaa....kweli mnamtetea mwizi. na ushahidi uko wazi kabisa...
ReplyDeleteHalafu we COOL kumbe bd mshamba. unaangalia ukubwa wa mixer. ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.huwezi kufananisha MJ na S&S. use your brain men......
sTIGO ACHA KUTAKA KUZA JINA PITIA KWA MAKOCHARI,HIYO BEAT HAIFANANANI HATA KIDOGO,ACHA HIZO,MSHTAKI BASI KAMA WADHANI UKO RIGHT THEN UONE KAZI,UTAJIKUTA UNAMLIPA MWENYEWE PESA ZA KUMHARIBIA JINA NA USUMBUFU,ACHA WIVU STIGO,MAKOCHARI NI PRODUCER SAFI ALIYESOMEA NA ANAFANYA KAZI ZA UKWELI
ReplyDeleteYoh i really dont think these beats match..thats the thing with yall american people how sure are we that you did the beat first n Not u jst tryna make all this shit up..cumon let young stars do thea thin..n the best you can do rite now is concetrate on making more music n more beats n stop complainin like a lil kid..dats wassupp..BIG UP 2 Q-ROCKA N MARKO CHALI..1 luv
ReplyDeleteYale yale ya TID na Saidi Comorian na ule wimbo wa sura yako au sijui nyota yako, jamani tunaiba nyimbo, jina, beats basi hata na maneno na bado kuna watu huku wanatetea wizi hivi nyie mnaodai hati sijui haki miliki mtafika wakati nyie wneyewe wezi!!!! kweli bongo. eti watu wanauliza kwa nini aweke tune! sasa mwenye mali nae awekewe masharti na mali yake.
ReplyDeletekwa mfano...kama mchora picha, ukiuza hiyo picha (art work) kwa mtu... je yule aliyenunua anaweza kufuta jina lako aweke jina lake pembeni ya picha alafu amuuzie mwingine kama ni kazi yake??
ReplyDeleteukishauza beat lazima jina la original producer liambatane na beat milele! hiyo ndiyo hali halisi ya bidha kama beats maana haina sura na lazima jina la yule aliye buni lijulikane
mimi kama producer na weza kutengenza beat kama ya dre lakini sitafanya hivyo maana nita kuwa nime copy idea yake....sasa yule jamaa hapo juu anasema alikuepo studio wakati beat inatengenezwa na marco, anataka kusema kwamba inamaanisha marco hajaiba wazo la mwingine??
je ukiwa nyumbani na mimi alafu niandike hadhithi inayo fanana na kitabu cha chinua achebe, atasema sijaiba kwasababu alikuwa nyumbani kwangu akiniona nikiandika?
marco kaiba wazo la mtu. simple.
akili fupi watu wengine.
mdau wa bristol
Kweli leo ndiyo nimejua watu ni washamba!!,beat inawezwa kuuzwa kwa ajili ya demos ila not kwa biashara,mbona hizihizi beat za wakina Dre zinauzwa kwenye Itunes!!? na wakati tayari zina nyimbo!!!,means zinauzwa mara 2 mbona sasa hivi mnamshambulia huyu Stiggo as if amefanya kosa kubwa badala ya kumshambulia mwizi!!,mi sidhani kwa yeye kuweka beat Itunes ni kosa,sababu ata Jay Z akinunua beat ya Dre Itunes bila ya makubaliano na Dre ofcoz Jay Z atashitakiwa,
ReplyDeleteMi sidhani kama Stiggo anatafuta jina!!,mtu alikuwa anarap toka akiwa mtoto katika kundi la Diplomats kabla hata ya huyo Makochali hajui mziki ni nini ila nachoona mimi wangeongea na MJ Records ili wamalizane isitoshe yeye Stiggo keshawahi kurekodia MJ Records,ila naamini haya mambo yataisha na watakubaliana sidhani kama Stiggo atakuwa amefanya jambo la busara kuwashitaki,
ReplyDeleteMimi sio mtaalamu wa mambo ya muziki lakini nauliza copyright laws zinasemaje? si nyie wasanii wote hapa Bongo mnalia kuibiwa kazi zenu? Iweje kwa hili mnalikubali. Mkiruhusu wizi huu na nyinyi mjiandae kulia kesho. Ama mmesahau ile methali ya mwenzio akinyolewa.....
ReplyDeletejamani hii beat ni rahisi.hata mie naweza kutunga
ReplyDeleteMarco Chali ata kukujua wewe na kistudio chako hicho hakujui, acheni kuwadidimiza watanzania, wewe kwenda mtoni kwenyewe ilikuwa magumashi...acha mbwembwe, box aliingizi nini hadi unataka noti za jasho la watu? unadhani 50 atakuja kurekodi kwako kwa roho mbaya yako? hawezi kwanza nakukumbuka wewe ata kipindi cha nyuma ulivyokuwa bongo unakuja kucheza kikapu Don Bosco hutaki watu waguse mpira wako...acha roho mbaya....mxiiiiiiiiiiiiii
ReplyDeletekuna kipindi niliwahi kusema hapa kwamba ukisikiliza kazi nyingi za sanaa ya muziki wa kibongo zinafanana,na nyingi utakuta wametumia beat za miziki ya watu japo wanazimodify kidogo,hilo nililiona zamanisana,hata baadhi ya segment za sauti,sema tu miziki yenu inajificha huko ndiyomaana hawajakumbana na vimbunga vya kushitakiwa. quality ya muziki unaotengenezwa hapo nyumbani asilimia kubwa nikama kwaya amini usiamini,na hii inatokana na ukweli kwamba wengi wanasingizia kwa kusema anakipaji cha kuzaliwa,well huenda wanacho kipaji lakini kama kweli mnataka muziki huo ukue lazima muende shule na kila kitu kiwe katika mpangilio.
ReplyDeleteleo hii issue nimeitizama nimepata picha kwamba wengi wenu mnaolalamikia huyu bwana stiggo,ukweli ni kwamba kuna vitu hamvifahamu,na mnawezakuingia katika shida kubwa mkiwa nje ya nchi sio kwa kutaka bali kwa kutofahamu na kutotaka kujifunza kufahamu. tambueni kwamba kutofahamu sheria hakukuweki huru kutoka katika kubeba adhabu ya kosa ulilotenda. hapa mnapiga kelele,lakini hilijambo likiingia mahakamani,tafsiri ya sheria itakuacheni hoi hadi mtachoka.
dawa ya yote nikwenda shule vijana,thats all! pata elimu kwanza itakupa mwanga wa namna ya kufikiri na kufanya kazi zako kwa dunia ya sasa ambayo ni kijiji. vinginevyo kama mtakimbia shule na kudhani sanaa pekeyake ndilo jibu,chamoto mtakuwa hamkawii kukionja kila mara. SHULE,SHULE,SHULE!!!!!
Wanaokandia "kistudio" ni kutokuwa na shule tu. Wasiosoma wanafikiri mbwembwe za vifaa ndiyo kasi yenyewe. Shule na Ujuzi ya namna ya kutumia ulichonacho ndiyo muhimu siyo visisho vya mitambo. Ni kama watu wenye Simu za BlackBerry lakini kazi pekee ni kupiga na kupokea simu. hata ku "surf" internet hawajui. Ukosefu wa shule unaangalia hardware pekee!!! Shule Shule Shule
ReplyDeleteWE COOL SIJUI COOL COOL BAR INABIDI UWE HOT SASA MAANA NAONA UMEKUWA COOL MPAKA MAWAZO YAKO.KWANZA JUA KUIWEKA BEAT ITUNES HAINA MAANA UICHUKUE NA UITUMIE KIBIASHARA HIYO NI AGAINST THE COPYRIGHT LAW MJINGA WEWE HILO MOJA,MBILI,UNAJUA USILO LIJUA NI KAMA USIKU WA KIZA TOTOLOO NAJUA UNACHOKIONGEA ETI KA MIXER WEWE UNAFIKIRI KUWA NA MIXER KUBWA NDIO KUWA NA VIFAA BORA?WENZAKO SIKU HIZI WANAKWENDA NA VITU PORTABLE UNAJIFANYA UNAJUA VITU KUMBE UNAUNGUA NA JUA,ETI UNASEMA WATU WA NG'AMBO WANAZARAU WA BONGO LA HASHA SIO KUDHARAU KAMA HUJUI UNAAMBIWA TU TATIZO LENU WALA VUMBI MNA ROHO ZA KOROSHO WEWE HUJAENDA HATA MWANALUMANGO NDIO MAANA UNAKUWA NA JELOUS.
ReplyDeleteBWANA MDOGO COOL KUANZIA LEO TEMBEA UTOE TONGO TONGO UACHE UJINGA NA MADHARAU.NA MICHUZI PLIZ USIIBANIE HII MAANA SIJATUKANA NIMEWEKA WAZI MTAZAMO NA MCHAKATO WA SWALA HILI KAMA MDAU.
AKSANYE.
MDAU TABATA
Wewe Unayesema Album ya VETO ni Mbaya wewe inaonekana ni Hater,i have a copy,Nyimbo karibu zote ni nzuri na ni hip hop ya ukweli na Sugu alisema anataka iwe kama 2 Proud means alitaka iwe vile ilivyo,Hold On is my fav song mpaka sasa hivi na iko kwenye Veto,kama mna chuki zenu binafsi sisi hatujui ila tunazungumzia haki,najua Stiggo atakuwa na beats nyingi ila hii ndiyo iliyokamatwa kama imeibiwa,kwa hiyo it doesnt matter ni rahisi au ngumu kutengeneza
ReplyDeleteWewe Unayesema Album ya VETO ni Mbaya wewe inaonekana ni Hater,i have a copy,Nyimbo karibu zote ni nzuri na ni hip hop ya ukweli na Sugu alisema anataka iwe kama 2 Proud means alitaka iwe vile ilivyo,Hold On is my fav song mpaka sasa hivi na iko kwenye Veto,kama mna chuki zenu binafsi sisi hatujui ila tunazungumzia haki,najua Stiggo atakuwa na beats nyingi ila hii ndiyo iliyokamatwa kama imeibiwa,kwa hiyo it doesnt matter ni rahisi au ngumu kutengeneza
ReplyDeleteNimesikiliza hizi beat, ni kweli kuna hali ya kufanana, ingawa Marco ameifanya imesound bomba, ila ukweli ni kwamba sio big deal kwa Stiggo, ukizingatia game yetu ya bongo ndio inajengeka,na kupata idea kutoka kwa mtu sio jambo baya, watu kibao wanafnya from timbaland to Kanye, sembuse Marco Chali, ila kitu muhimu,ni kuwa hii iwe kama wake up call kwa maproducer wetu, kama umepata idea kutoka kwa mtu basi weka wazi, lakini kwa Stiggo kusema kuwa anaichukua hii issue mahakamani, naona ni ujinga kabisa, mbona wenzetu wajamaica wanapeana Beat ili kuinua vipaji vyao, isitoshe beat katumia mtoto wa nyumbani. Angekuwa kaimba P Diddy hapo sawa, ila Stiggo naomba ulichukulie hili jambo kinyumbani, na kuweza ku move on. Kama producer vitu kama hivi vinatokea, ili kuwa producer bora, lazima uweze ku learn kwa walio juu, so inawezekana uko juu kuliko Marco, kutokana na mahali ulipo na Technology unayotumia. Jus chill out Bro.
ReplyDeleteStop please!
ReplyDeleteSiku hizi nyimbo nyingi zinatenganezwa na pre-sounds ambazo ziko kwenye hizi software. Kama watu mmetumia the same drum sasa wimbo utatofautionaje? Hata mimi hapa kwenye PC yangu ni beat inafanana na hizo mbili na sijawahi kuzisikia hizo beat.
HACHA HUO UPUMBAVU DOGO KAFANYA KAZI KUITENGENAZA WE UNACHUKUA NA KUTENGENEZA JINA LAKO KWA KAZI YA MTU ANAYO HAKI YA KUIWEKA SEHEMU YOYOTE KWA BIASHARA YA MANUFAHA YAKE SIO YA MTU MWINGINE STIGO UNAYO HAKI YA KUWAFUNDISHA JAMAA HAKI YAKO MAFARA SANA WANAPENDA KUBEBWA SANA TENGENEZA ZAKO INABIDI HAKULIPE HAKI YAKO YOTE AU SIO PUFF KATENGENEZA REMIX KIBAO LAKINI KAZILIPIA ZOTE
ReplyDeletendio haya haya nilikua nasema jana wanatumia hata nyimbo za watu kwenye movie zao ngoja wenywe nao wawashtukie. kuwa movie ni za biashara.
ReplyDeletena hao mnaosema sijui kwanini kaweka kwenye itunes...heeee anaweza kuweka na ukinunua kuna law huwezi kutumia kufanya biashara..
mnaenda kila siku kusoma lakini hamuelimiki...
ndio maana mnachukua movie za nje mnaonyesha kwenye tv zenu nyumbani na kuwacharge watu. that is wrong.....
na sasa hivi ulimwengu umekua mdogo na wasanii hela imepungua na wamekua wachungu kwa hela zao ngoja wamalize na south america halafu waje africa....mtalipa nyie mpaka mkome
Dogo Kaiba beat, kaiba style, kaiba na jina toka kwa Fush Nicklez IoI Rember da song number one chief rocka alafu members wa Fush Nickez walikuwa wanaitwa nani. Ndo nyie kama Jamaa yenu Hasheem Thabet kaanza kucheza kikapu mika saba iliyopita anatambaa oh...do research before you move to anythang be wise and be yourself mwizi ni mwizi tu dhambi yake ni ile ile unalamba ujiko wa vumbi bongo na beat za watu. peleka kuwa mahakama hao wote wakome watu wanaumiza vichwa usiku kucha alafu wanakuja kucopy....dissapointed
ReplyDeleteJamani ishu ni ndogo tu, Mkataba wa stiggo na Koch Entartainment ni Beat iwe na jina lake popote pale itakaposikika duniani. short and clear. Hayo mengine mnayosema ni ziada tu na ni un-necessary!!!!
ReplyDeleteVETO album ni HIP HOP ya KWELI!
Katika hiyo nyimbo kila kitu ni cha wizi kuanzia Hook,verse mpaka beat kwa kujionea mwenyewe maajabu click hii link uende youtube,UTASHANGAAAA!!!!!
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=BHi8zebYWYI
The beats are absolutely nothing alike.
ReplyDelete#1 Different notes.
#2 Different drum layouts.
#3 Different mix.
You didn't get jacked; they simply made a southern-like beat like you did.
If you did not copyright your beat and the basis of your legal defense is "wamecopy beat baada ya kuinunua from itunes"....
....pole, but you've already lost the case.
Wee mazee wa S&S, kujibu swali lako, hizi beats ni tofauti japo mandhari inafanana; better yet hiyo track ya huyo MJ is better than yours! its kinda silly what you are trying to do but hey, try!! kuna mdau kasema juu hapo kama mmetumia software moja na wote mmekuwa na almost the same concept, you'll both end up with the same beat,thats why people copyright their work to make sure they own it first, sasa wewe kalaghabao.
ReplyDeleteMy advise to you; kama una hela za lawyers to fight and win against apple & koch ent. go ahead braah!
Mdau NY.
These beats sounds the same and the hook is from the song called OUT THAT BOOT CAMP CLICC of Mistikal go to Youtube and find out,Im pretty sure bongo producers gonna get caught very soon of copy n paste because now a days a lot of artists come from America to TZ,wait till somebody hears his/her beat on Bongo flava's song n you will see the FIRE.I know the song called Sonia for Juma Nature produced by P.Funk the beat is from Eminem song called Under the influence,And you guys still defending this!!,KWELI WABONGO HATUTAENDELEA,
ReplyDeleteMdau kutoka TX
MDAU NY,HUJUI CHOCHOTE POINTS ZAKO PUMBA KAMA UNA BEEF NA HUYO PRODUCER FROM NY SHAURI YENU,SISI HAPA TUNAONGEA FACTS
ReplyDelete(1). JAMAA KAANZIA PALE MCHIZI ALIPOISHIA AKAENDELEZA SO ITS LIKE 2 PPL IDEAS OFCOZ THE 2ND SONG WILL BE BETTER THAN THE 1ST ONE
(2). YOU CANT COMPARE SOMETHING FOR 3 YRS AGO WITH THE NEW ONE OFCOZ THE NEW ONE WILL LOOK BETTER FOR EXAMPLE: TAKE THE CAR (SAME BRAND,SAME SERIES) ONE FOR 2007 AND ANOTHER ONE FOR 2010 WHICH ONE U THINK WILL LOOK BETTER!!
(3).U NEED TO BE REAL NOT BECAUSE YOU ARE IN NEW YORK N U PROBABLY GOT PERSONAL ISSUES WITH THIS GUY U COME HERE N HATING ON THE GUY SINCE YOU ALL IN THE SAME AREA/CITY OR WHATEVER WHY WONT U FACE HIM N TELL HIM!!?.GET UR MINDS RIGHT HOMMIE!!!!
THIS PAGE IS FOR REAL PPL NOT HATERZ.
MDAU WASHINGTON DC
TATIZO LENU MNA STRUGGLE KUIGA ‘NIGGAZ’! HAMUWAWEZI HUO MZIKI WAO WAMEANZA NAO SIKU NYINGI! WEWE STIGO IBRAHIM UMEIBA HII BITI TOKA ‘Snoop Dogg feat. Dr. Dre – Keep Ya Heads Ringing:
ReplyDeleteSIKILIZA HII LINK YOU TUBE: http://www.youtube.com/watch?v=aXL_LATAvpQ
HATA KAMA UKISEMA HUKUIGA, LAKINI HII BITI ULITENGENEZA UKIWA NA MAWAZO YA ‘Keep Ya Heads Ringing’
SASA WAZEE WAZIMA DR. DRE NA SNOOP WAKIKUSHTAKI WEWE STIGO UTASEMAJE?
UTATUZI: WACHENI KUJIFANYA ‘NIGGAZ’ HAMNA ASILI NA HISTORIA YA MZIKI WAO.
KILA LA HERI
TATIZO LENU MNA STRUGGLE KUIGA ‘NIGGAZ’! HAMUWAWEZI HUO MZIKI WAO WAMEANZA NAO SIKU NYINGI! WEWE STIGO IBRAHIM UMEIBA HII BITI TOKA ‘Snoop Dogg feat. Dr. Dre – Keep Ya Heads Ringing:
ReplyDeleteSIKILIZA HII LINK YOU TUBE: http://www.youtube.com/watch?v=aXL_LATAvpQ
HATA KAMA UKISEMA HUKUIGA, LAKINI HII BITI ULITENGENEZA UKIWA NA MAWAZO YA ‘Keep Ya Heads Ringing’
SASA WAZEE WAZIMA DR. DRE NA SNOOP WAKIKUSHTAKI WEWE STIGO UTASEMAJE?
UTATUZI: WACHENI KUJIFANYA ‘NIGGAZ’ HAMNA ASILI NA HISTORIA YA MZIKI WAO.
KILA LA HERI