Home
Unlabelled
puul tebo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kumbukumbu nzuri. Baada ya miaka 20 watakumbushana "Unakumbuka tulivyokuwa tunacheza pool juu ya ndoo, meza ya mkeka na vijiti vya kuchonga". Mdau ukiweza kuwapatia hawa vijana nakala itakuwa vizuri.
ReplyDeleteSafiiiiii
Nakuunga Mkono hawa Vijana mngewatafuta angalau muwape kila mmoja picha Yao watafurahi na Roho zao labda mpaka wapa na Kalamu na Daftari la kuchora wachore muundo siku wakipata kipaji zaidi wa vifaa watatengeneza mazuri zaidi ya hilo mungu akipenda.
ReplyDeleteSwali langu ni kwamba hawa snake waliona wapi watu wanacheza Pool Table? Basi Mdau inabidi kuwapa ufadhili wa Pool Table watacheza mpaka Olympiki hawa!
ReplyDeleteBriliant kids!! Sio tu kusubiri ufadhili wa meza. Self-reliance in practice. Au self-reliance made simple.
ReplyDeleteHizi ndio "independent minds" tunazozikosa kizazi hiki, kila kitu tunataka ufadhili, posho, takrima. Hata kama unaitwa kwenye semina ya kukuongezea ujuzi, unataka ulipwe!!
Naona mimi nina bahati mbaya. Hawa wangekuwa tayari kuoa mwaka 1994 mmojawapo angekuwa mume wangu . Maanahuwa napenda watu creative. Lakini basi tena ndo hivyo ilishatoka hiyo.
ReplyDeleteNimependa sandozi zake,
ReplyDeleteenzi zetu tulicheza gorori, kutengeneza magari ya makopo, baba na mama kombolela, kufunga kamba na kuendesha ikarusi, kuweka mapira maji na kuendesha kwa kutumia miti ya makuti, sago, kulenga maberti, just to mention few lakini wanangu hawajui haya wao ni dstv na games, naamini waakosa nafasi ya utoto wao, siku hizi wazazi tunawalazimisha watoto wabihevu kama watu wazima.
Hii kali sana!
ReplyDelete