Ankal nimekutana nao hawa taifa la kesho wakicheza puul tebo
yao mitaa ya Mji kasoro bahari. Nilipenda maana walikuwa bize sana.
Mdau Mathew Mwangomba




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Kumbukumbu nzuri. Baada ya miaka 20 watakumbushana "Unakumbuka tulivyokuwa tunacheza pool juu ya ndoo, meza ya mkeka na vijiti vya kuchonga". Mdau ukiweza kuwapatia hawa vijana nakala itakuwa vizuri.

    Safiiiiii

    ReplyDelete
  2. Nakuunga Mkono hawa Vijana mngewatafuta angalau muwape kila mmoja picha Yao watafurahi na Roho zao labda mpaka wapa na Kalamu na Daftari la kuchora wachore muundo siku wakipata kipaji zaidi wa vifaa watatengeneza mazuri zaidi ya hilo mungu akipenda.

    ReplyDelete
  3. Swali langu ni kwamba hawa snake waliona wapi watu wanacheza Pool Table? Basi Mdau inabidi kuwapa ufadhili wa Pool Table watacheza mpaka Olympiki hawa!

    ReplyDelete
  4. Briliant kids!! Sio tu kusubiri ufadhili wa meza. Self-reliance in practice. Au self-reliance made simple.


    Hizi ndio "independent minds" tunazozikosa kizazi hiki, kila kitu tunataka ufadhili, posho, takrima. Hata kama unaitwa kwenye semina ya kukuongezea ujuzi, unataka ulipwe!!

    ReplyDelete
  5. Naona mimi nina bahati mbaya. Hawa wangekuwa tayari kuoa mwaka 1994 mmojawapo angekuwa mume wangu . Maanahuwa napenda watu creative. Lakini basi tena ndo hivyo ilishatoka hiyo.

    ReplyDelete
  6. Nimependa sandozi zake,
    enzi zetu tulicheza gorori, kutengeneza magari ya makopo, baba na mama kombolela, kufunga kamba na kuendesha ikarusi, kuweka mapira maji na kuendesha kwa kutumia miti ya makuti, sago, kulenga maberti, just to mention few lakini wanangu hawajui haya wao ni dstv na games, naamini waakosa nafasi ya utoto wao, siku hizi wazazi tunawalazimisha watoto wabihevu kama watu wazima.

    ReplyDelete
  7. Hii kali sana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...