Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 46 mpaka sasa

  1. Kwa kweli hapo ni huo usafiri - Dar mpaka Mwanza. Raha ya hina ya miguu usafiri. Hapa najilamba

    ReplyDelete
  2. Inside of me there must be some electrical short-circuit or some wires are wrongly connected. I will tell you why, when I see nice legs like these I feel HUNGRY

    ReplyDelete
  3. Raha gani sasa hapo wewe uliyetoa hiyo picha. Tafadhali, siyo watu wote wanaweza kufananisha mapenzi na kitu fulani. Wewe kama inakupa raha kwa nini unafikiria yaweza kuwa hivyo kwa watu wote. Tambua kwamba hapo unatupa ujumbe umma wote juu ya hilo. Tuwe makini na taarifa tuwapazo umma, sisiwe na ulakini. Huyu mtu alipewa rangi nzuri na Mwenyezi Mungu, sasa ya nini kukosoa kazi hiyo ambayo hakuna mwanadamu awezaye kuumba mtu na taswira yake?

    ReplyDelete
  4. Reply to Thu Mar 04, 02:49:00 PM

    Kweli common sense sio common, mbona visirani hivyo mwenzetu? fungua na wewe blog yako uweke raha zako, sasa michu atajuaje raha yako ambayo ndio ulitaka iwekwe ehh shida gani ndugu??

    ReplyDelete
  5. Asiyejua maana, haambiwi maana.
    Watu wa mrima utawajua tu.hawasifu wala kukubali kitu mpaka kiwe cha kizungu.
    Jaribu kuwa na fikra huru.

    ReplyDelete
  6. Naomba namba ya mtu aliyemchora huyu dada hina jamani kwa muda mrefu sasa nilikuwa natafuta mtu wa kunipaka hina thanks

    ReplyDelete
  7. mashallah...mtoto kapendeza!

    ReplyDelete
  8. Annony wa Thu Mar 04, 02:49:00 PM acha ushamba, huyu dada hajabadilisha rangi ya mwili wake, hiyo inafutika ndani ya wiki mbili tu! anarudi kama alivyozaliwa, unayoongea wewe basi watu wasivae nguo, maana Mungu kawaumba na ngozi nzuri tu, sasa kwa nini wavae nguo kuifunika?
    kupaka hina ni kukosoa kazi ya Mungu???yani ulichoongea ni pumba sijawahi ona!

    ReplyDelete
  9. Jamani,-jaribuni kuelewa nini kinaulizwa ambacho unapaswa kuchangia maoni,-usichangie kitu kwa kuwa unajisikia kufanya hivyo.
    RAHA YA HINA.-unambiwa kingine wewe unafikiri kingine,-hina na mapenzi wapi na wapi?

    ReplyDelete
  10. Hivi hina iliyochorwa kwa huyu imepanda hadi wapi sioni mwisho.

    ReplyDelete
  11. NICE WORK THIS IS... MICHUZI TUNAOMBA NAMBA YA MPAKA HINA.. AISEE HUYU NI ARTIST MZURI SANA.. MICHUZI HAKIKISHA NAPATA NAMBA.
    madirishani@gmail.com

    ReplyDelete
  12. Mimi nimewahi kuona watu waliopakwa hina India na Dubai lakini lazima niseme kuwa hapa TZ wasanii wetu wanapaka vizuri zaidi (wala siwapendelei). Uzuri mmoja ni kuwa sanaa hii inakua vizuri. Mwaka jana huko Zanzibar kuna dada mmoja alimpaka sister yetu mmoja hina kisanii kabisa. Katika kuzungumza naye mpaka hina akatueleza kuwa yeye ni mwenyeji wa Kilimanjaro lakini ameishi Zenji miaka minne tu na interest yake ilimfanya ajifuze fani hii. Nilichosema? "Safi sana , keep it up".

    ReplyDelete
  13. Kama katembelewa na dudu washa...........

    ReplyDelete
  14. Mmmh it is not for me kabisaa!!

    ReplyDelete
  15. Sorry sijui ni mimi tu au na wengine pia, si kuwakwaza watu ila naona hina inapendeza kwa watu weupe kidogo, kwa mweusi naona kama uchafu fulani hivi. Mimi ni mweusi, na naona hainipendezi kabisaa.

    ReplyDelete
  16. I felt HUNGRY when reading this.

    ReplyDelete
  17. Raha ya hina USAFIRI!

    ReplyDelete
  18. Raha ya hina "UWE NA USAFIRI"

    ReplyDelete
  19. Anon, thur March 04, 05:14:00 PM,

    Mgonjwa wewe!

    ReplyDelete
  20. hina bwana watu wa mwambao wa pwani from africa middle east + Asia lakini sisi watu wa bara haya mambo si yetu ni rubisi,mbege,ulanzi na kadhalika pamoja na jembe mkononi kila asubuhi sasa kama ndo demu wako akipaka hivyo kesho hashiki jembe kwenda shambani au

    ReplyDelete
  21. Wakati unafuatilia namba ya mpaka hina fuatilia pia na ya aliyepakwa hina.

    ReplyDelete
  22. watu wa namna hii ndo wanaowaotesha manyosha ya paka watoa misaada kwa ombaomba.

    ReplyDelete
  23. Mashallah, mtoto kapendeza, katimiza Sunnah!

    Waacheni wachukie wanajua ni hinna ni Sunnah kwetu sasa mlitaka waifurahie? Lazima waichukie na kuikashifu kama ambavyo wamekuwa wakitukashifu miaka yote. Mimi huwa nategemea majibu ya aina hiyo kutoka kwao, na jibu lao siku zote nawaambia kuna "vitu" huku, mbona mtaumwa sana!

    Watoto wa kiislam mlioolewa msiache kuwapakalia hinna waume zenu, msisikilize hao ambao wakiona kanzu wanaumwa, wakiona kofia wanahema, wakiona hinna roho zataka kuwatoka. Na bado mtakufa nacho kijiba cha roho. Ni Jipu hilo, nimelipasua pwaa!

    ReplyDelete
  24. JAMANI KAMA HAMPENDI HII KITU BORA MTU UNYAMAZE TUU, SIYO KUANZA KANDYA NA NINI... SISI TUNAOPENDA TUNA SABABU ZETU, NDIO MAANA KUNA WATU WANAPENDA MPIRA WA MIGUU WENGINE HAWAPENDI, TUNAWASHANGAA KWA NINI HAWAPENDI LAKINI HIYO NI CHOICE YAO HATUNA HAKI YA KUWALAZIMISHA NA KUWALAUMU AU NINI.. HINA MIMI NAONA NI BOMBA TUU INA VIHONJO VYAKE..NI TATOO YA MUDA..

    ReplyDelete
  25. mijitu ya bush inajuaje mamabo ya hina

    hayo mambo ya raha ndani ya nyumba tuachieni wenyewe watu wa pwani

    huyo anon hapo juu anaropoka tu eti oooh kajibadilisha rangi kapewa na mungu watu wengine bwana kaazi kweli kweli

    watu kama hao ndio wale wanaosema kila kitu cha mzungu ndio kizuri na ni kisafi

    tuulizeni sisi tunaokaa nyumba moja na wazungu tunaishi nao

    wachafu wa hali ya juu na wengi wao ni wajinga wa ajabu sasa utabakia kuita viazi ulaya ulivyokuwa zombi

    viazi vinalimwa mikoani wewe unaita viazi ulaya

    mijitu kama hiyo ishapiga hesabu zao za udini hamna kingine

    ReplyDelete
  26. Ingelikuwa ni wazungu ndio wana utamaduni huu, basi hao wanaouponda ndio wangelikuwa wa kwanza kuuiga; kama vile siku hizi wengi wao wanavyoshabikia shubiri (lakini wanaiita eti aloe vera), vikapu, vikoi, vipini vya pua, rubega za kimasai, n.k. kwa ajili tu wazungu wameanza kuvitumia vitu hivyo. Kwenye miaka ya sabini kulikuwa na ndugu yangu na mtani wangu hapa Dar aliyekuwa akilaumu tabia ya wanawake wa kiswahili kujipaka marashi na manukato. Siku hizi kila akienda abroad lazima amletee mai waifu wake pafyumu babu kubwa. Hina ni kwa anayependa, asiyependa... live and let live...wala hatuna haja ya kukashifiana au kulumbana...unity in diversity. Full stop.

    ReplyDelete
  27. I can only imagine what's above that...

    ReplyDelete
  28. Kama mliangalia kipindi cha Oprah jana mtaelewa...Wengine wanapasua mifupa ili waengezeke urefu, wengine hawali ili wakonde etc etc.....That's what they call, THE PRICE OF BEAUTY..

    ReplyDelete
  29. Uchafu tupu. Hamna lolote!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  30. Reply to Thu Mar 04, 02:49:00 PM.

    KILA MTU ANA RAHA ZAKE NDO MAANA HAPO MICHUZI HAJASEMA RAHA YA HINA KWA NI KWA KILA MTU. HEBU TUACHANE NA HILO MIMI HAPA NI SHIDA YANGU BINAFSI NAJUA MTU ALIYE MPIGA PICHA HUYU DADA ANAWEZA AKAWA NA NAMBA ZAKE ZA SIMU NILIKUWA NAOMBA EIZA MPIGA PICHA AU DADA MWENYEWE AWASILIANE NA MIMI KUPITIA fredsimon65@yahoo.com, KUNA KITU MUHIMU SANA NIMEKIGUNDUA NILIPOANGALIA TUU ILE PICHA, NATAKA NIMSHIRIKISHE TAFADHALI. NIMEASHUMU HIYO MIGUU NI YA MTOTO WA KIKE, KAMA NI MKAKA ANIWIE RADHI HUYO ANAWEZA AKAENDELEA NA SHUGHULI NYINGINE ZA UJENZI WA TAIFA.

    ReplyDelete
  31. Kwa kweli, potelea mbali wasiopendelzewa na hina . Lakini huyu kapendeza saaaaaaaana. hata mie ningependa kupaka namna hiyo lakini miguu yangu myeusi tiiiii. Sijui nifanye nini! mkorogo sifagilii. Hebu nishauri.

    ReplyDelete
  32. Yes, it's more decorated as it gets deeper - think of it....

    ReplyDelete
  33. NYOTE MLIOPONDA HINA HAMJUI LOLOTE MNAJIONGELESHA NI WAZUNGU KUMBE HAMJUI MILA WALA DESTURI NYOTE NI WALE WALE, MITHUPU ANGEMUEKA WA KIMINI KUONESHA MAPAJA MNGESIFIA SANA TU KUMBE MSOPATA MALEZI MNASIFIA UJINGA TU NA KUPONDA MILA ZA WENZENU HAMUNYAMAZI MADOMO YENU MABAYA KUONGEA PUMBA TU, ANY WAY KAKA MITHUPU VITU KAMA IVO USIWEKE MANA SS WENGINE TUNAHASIRA TUKIONA WABARA WAPANDA MILIMA WANAPONDA. SORRY

    ReplyDelete
  34. Yaani....mie nikiona hiyo miguu na hina ya namna hiyo hoooooi kabisa...haya mambo yana mshawasha wake...Raha ya hina aijua mhudumiwa...raha ya hina usafiri jamani...

    ReplyDelete
  35. Asie jua maana haambiwi maana, mtoto kapendeza na mchoraji kafanya kazi - keep it up!

    ReplyDelete
  36. YUCK..................!

    ReplyDelete
  37. asiejua raha ya hina, hawezi jua maana ya shanga, waulizeni watu wa pwani.

    ReplyDelete
  38. kama inavyojulikana jamani BIASHARA MATANGAZO sasa mbona hamjatoa namba ya dada au kaka mtaalamu wa kuchora na kupaka hina vizuri hivi????
    Michuzi JAMANI NAMBA TUNAOMBA YA HUYU, atapata wateja wengi mno. Sijawahi kuona utaalamu wa hina kama hivi, mie binafsi nitapenda kupakwa.
    TUNAOMBA NAMBA YAKE, AU ANUANI YA ANAPOFANYIA BIASHARA KAMA HAMUWEZI KUTUPA NAMBA.

    ReplyDelete
  39. Raha yake, shurti ilambwe kwa ulimi kote ilikopakwa paka iishe. kaaaazi kweli kweli.

    ReplyDelete
  40. Great work of art. Sublimely poetic and beautiful...it reminds me the poem (slightly paraphrased), "Within me grace thee with exquisite wings of perfumed petals, fly as you never have before and carry my love, pleasure is only a step... and THIS just one more". God bless you all. Respect!!!!!

    ReplyDelete
  41. We anon wa 06:43 a.m. Hunishangazi. Roho, moyo na akili yako imetawaliwa na giza la chuki kiasi cha kwamba huwezi kuenjoy sanaa au mashairi. Ushauri wangu unahitaji kukombolewa kutoka giza hilo na kuokoka. I feel sorry for such miserable guys, but I also pray for them.

    ReplyDelete
  42. cobra.....!

    ReplyDelete
  43. watu mna wazimu umu?hahahaaaa

    ila inna kwa weupe tu au wale wnaochubuliwa kwa machicha kabla hawajapelekwa ngoman,,mweusi NO

    hahahahaaa eti dudu washa?hhahaaa

    ReplyDelete
  44. Hiyo lazima itakuwa miguu ya bi harusi tu, maana inaonekana imepakwa "liwa" ikang'aa na kuwa soft na maridadi, kisha ikapakwa hina! Mhu mie ni mwanamke lakini mwenzangu liwa imekubali, hina imekubali, usafiri anao. Mwenye kujua maana ya hina hapo midenda inamtoka.

    Asiyejua maana haambiwi maana, ndio tatizo la kutuma mila zetu za jando na unyago, na kukumbatia uzungu, mtajuaje raha ya mahanjumati?

    ReplyDelete
  45. Hina ni kwa rangi zote. Huku mwambao wapaka hina wanajua rangi ipi ya hina (iliyokolea au la) inaendana na rangi ya ngozi ya mtu. kuna anon hapo juu anasema alikutana na mpaka hina mwenyeji wa Kilimanjaro. Mimi namfahamu dada mmoja kutoka rock city huko zenji ambaye pia ni mahiri katika sanaa hii. Hina ni tatoo yetu. Siku ya harusi, kama wife wako amepakwa hina vizuri, akachomemekewa ua la waridi nyweleni, kisha akajifukiza udi na mkawa katika chumba kilichomarashiwa kwa maua ya mwasumini (jasmine) na chenye shada ya maua ya rahatuleli , basi mambo...[asiyejua maana haambiwi maana]. Mdau wa the Art of Living!!!1

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...