Home
Unlabelled
raha ya hina...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa kweli hapo ni huo usafiri - Dar mpaka Mwanza. Raha ya hina ya miguu usafiri. Hapa najilamba
ReplyDeleteInside of me there must be some electrical short-circuit or some wires are wrongly connected. I will tell you why, when I see nice legs like these I feel HUNGRY
ReplyDeleteRaha gani sasa hapo wewe uliyetoa hiyo picha. Tafadhali, siyo watu wote wanaweza kufananisha mapenzi na kitu fulani. Wewe kama inakupa raha kwa nini unafikiria yaweza kuwa hivyo kwa watu wote. Tambua kwamba hapo unatupa ujumbe umma wote juu ya hilo. Tuwe makini na taarifa tuwapazo umma, sisiwe na ulakini. Huyu mtu alipewa rangi nzuri na Mwenyezi Mungu, sasa ya nini kukosoa kazi hiyo ambayo hakuna mwanadamu awezaye kuumba mtu na taswira yake?
ReplyDeleteReply to Thu Mar 04, 02:49:00 PM
ReplyDeleteKweli common sense sio common, mbona visirani hivyo mwenzetu? fungua na wewe blog yako uweke raha zako, sasa michu atajuaje raha yako ambayo ndio ulitaka iwekwe ehh shida gani ndugu??
Asiyejua maana, haambiwi maana.
ReplyDeleteWatu wa mrima utawajua tu.hawasifu wala kukubali kitu mpaka kiwe cha kizungu.
Jaribu kuwa na fikra huru.
Naomba namba ya mtu aliyemchora huyu dada hina jamani kwa muda mrefu sasa nilikuwa natafuta mtu wa kunipaka hina thanks
ReplyDeletemashallah...mtoto kapendeza!
ReplyDeleteAnnony wa Thu Mar 04, 02:49:00 PM acha ushamba, huyu dada hajabadilisha rangi ya mwili wake, hiyo inafutika ndani ya wiki mbili tu! anarudi kama alivyozaliwa, unayoongea wewe basi watu wasivae nguo, maana Mungu kawaumba na ngozi nzuri tu, sasa kwa nini wavae nguo kuifunika?
ReplyDeletekupaka hina ni kukosoa kazi ya Mungu???yani ulichoongea ni pumba sijawahi ona!
Jamani,-jaribuni kuelewa nini kinaulizwa ambacho unapaswa kuchangia maoni,-usichangie kitu kwa kuwa unajisikia kufanya hivyo.
ReplyDeleteRAHA YA HINA.-unambiwa kingine wewe unafikiri kingine,-hina na mapenzi wapi na wapi?
Hivi hina iliyochorwa kwa huyu imepanda hadi wapi sioni mwisho.
ReplyDeleteNICE WORK THIS IS... MICHUZI TUNAOMBA NAMBA YA MPAKA HINA.. AISEE HUYU NI ARTIST MZURI SANA.. MICHUZI HAKIKISHA NAPATA NAMBA.
ReplyDeletemadirishani@gmail.com
Mimi nimewahi kuona watu waliopakwa hina India na Dubai lakini lazima niseme kuwa hapa TZ wasanii wetu wanapaka vizuri zaidi (wala siwapendelei). Uzuri mmoja ni kuwa sanaa hii inakua vizuri. Mwaka jana huko Zanzibar kuna dada mmoja alimpaka sister yetu mmoja hina kisanii kabisa. Katika kuzungumza naye mpaka hina akatueleza kuwa yeye ni mwenyeji wa Kilimanjaro lakini ameishi Zenji miaka minne tu na interest yake ilimfanya ajifuze fani hii. Nilichosema? "Safi sana , keep it up".
ReplyDeleteKama katembelewa na dudu washa...........
ReplyDeleteMmmh it is not for me kabisaa!!
ReplyDeleteSorry sijui ni mimi tu au na wengine pia, si kuwakwaza watu ila naona hina inapendeza kwa watu weupe kidogo, kwa mweusi naona kama uchafu fulani hivi. Mimi ni mweusi, na naona hainipendezi kabisaa.
ReplyDeleteI felt HUNGRY when reading this.
ReplyDeleteRaha ya hina USAFIRI!
ReplyDeleteRaha ya hina "UWE NA USAFIRI"
ReplyDeleteAnon, thur March 04, 05:14:00 PM,
ReplyDeleteMgonjwa wewe!
hina bwana watu wa mwambao wa pwani from africa middle east + Asia lakini sisi watu wa bara haya mambo si yetu ni rubisi,mbege,ulanzi na kadhalika pamoja na jembe mkononi kila asubuhi sasa kama ndo demu wako akipaka hivyo kesho hashiki jembe kwenda shambani au
ReplyDeleteWakati unafuatilia namba ya mpaka hina fuatilia pia na ya aliyepakwa hina.
ReplyDeletewatu wa namna hii ndo wanaowaotesha manyosha ya paka watoa misaada kwa ombaomba.
ReplyDeleteMashallah, mtoto kapendeza, katimiza Sunnah!
ReplyDeleteWaacheni wachukie wanajua ni hinna ni Sunnah kwetu sasa mlitaka waifurahie? Lazima waichukie na kuikashifu kama ambavyo wamekuwa wakitukashifu miaka yote. Mimi huwa nategemea majibu ya aina hiyo kutoka kwao, na jibu lao siku zote nawaambia kuna "vitu" huku, mbona mtaumwa sana!
Watoto wa kiislam mlioolewa msiache kuwapakalia hinna waume zenu, msisikilize hao ambao wakiona kanzu wanaumwa, wakiona kofia wanahema, wakiona hinna roho zataka kuwatoka. Na bado mtakufa nacho kijiba cha roho. Ni Jipu hilo, nimelipasua pwaa!
mhh
ReplyDeleteJAMANI KAMA HAMPENDI HII KITU BORA MTU UNYAMAZE TUU, SIYO KUANZA KANDYA NA NINI... SISI TUNAOPENDA TUNA SABABU ZETU, NDIO MAANA KUNA WATU WANAPENDA MPIRA WA MIGUU WENGINE HAWAPENDI, TUNAWASHANGAA KWA NINI HAWAPENDI LAKINI HIYO NI CHOICE YAO HATUNA HAKI YA KUWALAZIMISHA NA KUWALAUMU AU NINI.. HINA MIMI NAONA NI BOMBA TUU INA VIHONJO VYAKE..NI TATOO YA MUDA..
ReplyDeletemijitu ya bush inajuaje mamabo ya hina
ReplyDeletehayo mambo ya raha ndani ya nyumba tuachieni wenyewe watu wa pwani
huyo anon hapo juu anaropoka tu eti oooh kajibadilisha rangi kapewa na mungu watu wengine bwana kaazi kweli kweli
watu kama hao ndio wale wanaosema kila kitu cha mzungu ndio kizuri na ni kisafi
tuulizeni sisi tunaokaa nyumba moja na wazungu tunaishi nao
wachafu wa hali ya juu na wengi wao ni wajinga wa ajabu sasa utabakia kuita viazi ulaya ulivyokuwa zombi
viazi vinalimwa mikoani wewe unaita viazi ulaya
mijitu kama hiyo ishapiga hesabu zao za udini hamna kingine
Ingelikuwa ni wazungu ndio wana utamaduni huu, basi hao wanaouponda ndio wangelikuwa wa kwanza kuuiga; kama vile siku hizi wengi wao wanavyoshabikia shubiri (lakini wanaiita eti aloe vera), vikapu, vikoi, vipini vya pua, rubega za kimasai, n.k. kwa ajili tu wazungu wameanza kuvitumia vitu hivyo. Kwenye miaka ya sabini kulikuwa na ndugu yangu na mtani wangu hapa Dar aliyekuwa akilaumu tabia ya wanawake wa kiswahili kujipaka marashi na manukato. Siku hizi kila akienda abroad lazima amletee mai waifu wake pafyumu babu kubwa. Hina ni kwa anayependa, asiyependa... live and let live...wala hatuna haja ya kukashifiana au kulumbana...unity in diversity. Full stop.
ReplyDeleteI can only imagine what's above that...
ReplyDeleteKama mliangalia kipindi cha Oprah jana mtaelewa...Wengine wanapasua mifupa ili waengezeke urefu, wengine hawali ili wakonde etc etc.....That's what they call, THE PRICE OF BEAUTY..
ReplyDeleteUchafu tupu. Hamna lolote!!!!!!!!!
ReplyDeleteReply to Thu Mar 04, 02:49:00 PM.
ReplyDeleteKILA MTU ANA RAHA ZAKE NDO MAANA HAPO MICHUZI HAJASEMA RAHA YA HINA KWA NI KWA KILA MTU. HEBU TUACHANE NA HILO MIMI HAPA NI SHIDA YANGU BINAFSI NAJUA MTU ALIYE MPIGA PICHA HUYU DADA ANAWEZA AKAWA NA NAMBA ZAKE ZA SIMU NILIKUWA NAOMBA EIZA MPIGA PICHA AU DADA MWENYEWE AWASILIANE NA MIMI KUPITIA fredsimon65@yahoo.com, KUNA KITU MUHIMU SANA NIMEKIGUNDUA NILIPOANGALIA TUU ILE PICHA, NATAKA NIMSHIRIKISHE TAFADHALI. NIMEASHUMU HIYO MIGUU NI YA MTOTO WA KIKE, KAMA NI MKAKA ANIWIE RADHI HUYO ANAWEZA AKAENDELEA NA SHUGHULI NYINGINE ZA UJENZI WA TAIFA.
Kwa kweli, potelea mbali wasiopendelzewa na hina . Lakini huyu kapendeza saaaaaaaana. hata mie ningependa kupaka namna hiyo lakini miguu yangu myeusi tiiiii. Sijui nifanye nini! mkorogo sifagilii. Hebu nishauri.
ReplyDeleteYes, it's more decorated as it gets deeper - think of it....
ReplyDeleteNYOTE MLIOPONDA HINA HAMJUI LOLOTE MNAJIONGELESHA NI WAZUNGU KUMBE HAMJUI MILA WALA DESTURI NYOTE NI WALE WALE, MITHUPU ANGEMUEKA WA KIMINI KUONESHA MAPAJA MNGESIFIA SANA TU KUMBE MSOPATA MALEZI MNASIFIA UJINGA TU NA KUPONDA MILA ZA WENZENU HAMUNYAMAZI MADOMO YENU MABAYA KUONGEA PUMBA TU, ANY WAY KAKA MITHUPU VITU KAMA IVO USIWEKE MANA SS WENGINE TUNAHASIRA TUKIONA WABARA WAPANDA MILIMA WANAPONDA. SORRY
ReplyDeleteYaani....mie nikiona hiyo miguu na hina ya namna hiyo hoooooi kabisa...haya mambo yana mshawasha wake...Raha ya hina aijua mhudumiwa...raha ya hina usafiri jamani...
ReplyDeleteAsie jua maana haambiwi maana, mtoto kapendeza na mchoraji kafanya kazi - keep it up!
ReplyDeleteYUCK..................!
ReplyDeleteasiejua raha ya hina, hawezi jua maana ya shanga, waulizeni watu wa pwani.
ReplyDeletekama inavyojulikana jamani BIASHARA MATANGAZO sasa mbona hamjatoa namba ya dada au kaka mtaalamu wa kuchora na kupaka hina vizuri hivi????
ReplyDeleteMichuzi JAMANI NAMBA TUNAOMBA YA HUYU, atapata wateja wengi mno. Sijawahi kuona utaalamu wa hina kama hivi, mie binafsi nitapenda kupakwa.
TUNAOMBA NAMBA YAKE, AU ANUANI YA ANAPOFANYIA BIASHARA KAMA HAMUWEZI KUTUPA NAMBA.
Raha yake, shurti ilambwe kwa ulimi kote ilikopakwa paka iishe. kaaaazi kweli kweli.
ReplyDeleteGreat work of art. Sublimely poetic and beautiful...it reminds me the poem (slightly paraphrased), "Within me grace thee with exquisite wings of perfumed petals, fly as you never have before and carry my love, pleasure is only a step... and THIS just one more". God bless you all. Respect!!!!!
ReplyDeleteWe anon wa 06:43 a.m. Hunishangazi. Roho, moyo na akili yako imetawaliwa na giza la chuki kiasi cha kwamba huwezi kuenjoy sanaa au mashairi. Ushauri wangu unahitaji kukombolewa kutoka giza hilo na kuokoka. I feel sorry for such miserable guys, but I also pray for them.
ReplyDeletecobra.....!
ReplyDeletewatu mna wazimu umu?hahahaaaa
ReplyDeleteila inna kwa weupe tu au wale wnaochubuliwa kwa machicha kabla hawajapelekwa ngoman,,mweusi NO
hahahahaaa eti dudu washa?hhahaaa
Hiyo lazima itakuwa miguu ya bi harusi tu, maana inaonekana imepakwa "liwa" ikang'aa na kuwa soft na maridadi, kisha ikapakwa hina! Mhu mie ni mwanamke lakini mwenzangu liwa imekubali, hina imekubali, usafiri anao. Mwenye kujua maana ya hina hapo midenda inamtoka.
ReplyDeleteAsiyejua maana haambiwi maana, ndio tatizo la kutuma mila zetu za jando na unyago, na kukumbatia uzungu, mtajuaje raha ya mahanjumati?
Hina ni kwa rangi zote. Huku mwambao wapaka hina wanajua rangi ipi ya hina (iliyokolea au la) inaendana na rangi ya ngozi ya mtu. kuna anon hapo juu anasema alikutana na mpaka hina mwenyeji wa Kilimanjaro. Mimi namfahamu dada mmoja kutoka rock city huko zenji ambaye pia ni mahiri katika sanaa hii. Hina ni tatoo yetu. Siku ya harusi, kama wife wako amepakwa hina vizuri, akachomemekewa ua la waridi nyweleni, kisha akajifukiza udi na mkawa katika chumba kilichomarashiwa kwa maua ya mwasumini (jasmine) na chenye shada ya maua ya rahatuleli , basi mambo...[asiyejua maana haambiwi maana]. Mdau wa the Art of Living!!!1
ReplyDelete