


na Taasis Masela wa wazee wa masauti Akudo Impact.



akibadilishana mawazo na Ras Inno Nganyagwa na Bizman
Kila mtu alitaka picha na Bwana Mkubwa King Kikii. Toka shoto ni Mheshimiwa Temba, Banza Stone, Kalala jr, Wanne Star, Jose Mara na Profesa J wa Mitulinga

akila pozi na baadhi ya nyota wa muziki waliohudhuria semina hiyo
Kaka Michuzi,
ReplyDeleteMimi nina swali kidogo. Nimekuwa nikifuatilia sana hawa jamaa wa TBL wakitoa/wakidhamini matamasha, na kutoa ma-award kwa wanamuziki na wasanii kibao...Sasa nauliza ni lini watatupa hizo award sisi wanywaji wake ambao ndo tunawapa hela hao TBL, SBL?. Kwa mwaka mimi natuamia almost 1.3 milioni katika bia(wastani wa l12,000/= kwa mwezi)
Ni swali la kizushi tuu
TBL huyo baba anaomba msaada hapo msaidieni.
ReplyDeleteHuku ninakoishi kuna mfanyabiashara mmoja alikua natoa mchango wake kusaidia shule ya watoto hapo anapoishi. Shule ile ilikataa mchango wake kwa vile yeye ana duka la kuuza guns. Basi shule ile kukataa mchango ule publicity aliyopata ni kubwa kuliko hata ile angeipata kama wangekubali hela yake.
Hivyo TBL mpeni hizo hela za pmbe zenu huyo mtu akikataa mtapata big publicity kuliko kuwapa hao mastar
JUMA NATURE mbona sijamuona apo?
ReplyDeletebwatuka.
Inspektar Haron nafikili ungebadilika kidogo si kila saa na kila sehemu na kila wakati basi wewe na nusu seruali tu!!! siku nyingine inapendeza ukiwa na suruali kamili.
ReplyDeleteKwaniaba ya wanamuziki makini tunamiss sana mchango wa John Kitime. Hope huko uliko utatoa mchango wako hata kwa maandishi baada ya kupata semina elekezi kwa njia ya mtandao kama TBL watakuwa na ujasiri wa kukutumia.
ReplyDeletehuyu mwana fa si alisema hatohudhuria kili awards, imekuwaje tena yumo. hii kweli bongo flava
ReplyDeleteJamani mimi nina swali au sijui niseme ushauri,hivi kweli wanamuziki wetu wanaelewa umuhimu wa kufanya mazoezi kwenye muziki? leo hii unamuona hivi kesho kavimba, naona karibia kila mwanamuziki kanenepa ukiachilia wachache kama Jide,Shaa etc, naomba niwaambie kwamba wanahitaji afya bora ili kuendeleza libeneke la uanamuziki. Na pia mwanamuziki anatakiwa kuwa na identity sio unavaa ovyo tu, nadhani watu waige mfano wa Shaa ni star wa kweli
ReplyDelete