Wataalamu wa SOFIA PRODUCTIONS wakiwa mzigoni. Kampuni hii kwa sasa iko juu sana katika kushuti shughuli mbalimbali ikiwemo minuso ya harusi, mikutano, filamu na mambo memngine yote. Ina vifaa vya kkisasa na wafanyakazi waliobobea
vifaa vya mwanga vya SOFIA PRODUCTIONS



Baada ya kupewa promo na Ankal, ilibidi muweke na website yenu, kwani kama mna vifaa vya Kisasa kiasi hicho mmshindwa kutegeneza webpage ya kampuni yenu.
ReplyDeleteWebpage ni kitu muhimu kwa biashara kama hii, simu mmmmmmmhhhhhhhh.
I second u hapo juu...web page na price ziwekwe nje nje kuvutia wateja.....
ReplyDeleteWenzetu wanakimbia sie tunatembea na technology...Hao wanaomaliza IT hapo bongo wanafanya nini? Google Uganda, kenya Nairobi uone mambo mengi yanavyojitokeza. Google Tanzania ni michuzi blog tu agrrrrrrr. Tatizo bongo twapenda dezo na kumzximise profite kumbe hatujui matangazo yanaengeza wateja. wake up guys....
Mnitafute mimi party time nitawatengenezea sites for freeeeee nyie