Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. That is why most of Europe is now as Pagan as the Devil himself. They need Jesus preached to them all over again! Jesus is the hope not science and falsehood!!!

    ReplyDelete
  2. Wanaume wengi wenye ndoa huwa tunalea watoto wasio wetu. Afadhali mzae mtoto anayekufanana wewe, kile kiwasiwasi kinapotea.

    ReplyDelete
  3. Kaka siku hizi kulea mtoto ambaye siyo wako ni kutaka tuu kama jamaa yetu wa Ujerumani alivyotaka kuficha aibu yake... DNA zimejaa kibao. Ila kama unajijua una matatizo, basi piga kimya maana huyo mtoto anakutunzia siri. Maana nako kuambiwa huzai mzee mzima unaweza kunywa sumu bure.

    ReplyDelete
  4. Mie wanangu ni wangu na si wa Jirani kwa sababu majirani zangu wote ni Wazungu! na watoto wangu wametoka weusi na DNA ziko makini! kwa nyie mtajiju!
    kwa kwa kwa

    ReplyDelete
  5. we anony wa saa 03:06:00 hiyo ya kulea watoto wasio wenu ilikuwa zamani! sasa hivi hata uzae mtoto ndani ya ndoa unatakiwa ukahakiki kwenye DNA test! Hiki ni kitu kinaeleweka wazi! hata km ulizaa mtoto miaka 20 iliyopita, nenda ukafanye DNA utapata jibu km ulibambikiziwa au la!karibu kila nchi kuna kipimo hiki!

    ReplyDelete
  6. I agree, in Europe the Pagan and Devil are two things synonymous. "They need to be preached" - too late!!

    It doesn't make sense at all, I would rather adopt.

    ReplyDelete
  7. Kumbe mlikuwa hamjui hilo? Kama nyie wanaume mnaweza kutoka nje ya ndoa mnafikiri sie wanawake hatuwezi? Tena wanaume wengi hawana uwezo wa kuzaa. Unafikiri mwanamke atakaa na mmewe bila kuzaa huku wakwe wanamzonga. Bora uitembeze sahani nje kitakachowekwa halali yako. Wanaume mpo????? Hata sisi wanawake huwa tunalea watoto wasio wetu. Mme anazaa huko nje anakuletea ulee. Kwa hiyo ngoma drooo. Maisha yanasonga mbele.

    ReplyDelete
  8. KWA mfano leo hii unaambiwa huyu sio babako utafanyaje na una25yrs old....au zaidi....

    ?????
    michuzi usiibanie hii nijibiwe

    ReplyDelete
  9. hahahha hii kali sana inabidi jamaa alete hizo dili huku afrika kwa marijali na vidume vya mbegu!!

    ReplyDelete
  10. ankal naona ume play back/ume rewind mkanda wa matukio,hii pia uliwahi tuwekea miaka ya nyuma,pamoja naya mkungu wa ndizi.hongera kwa kuwakumbuka ambao hawakuziona.
    kinyogoli.

    ReplyDelete
  11. mleten bongo, du haitachukua hata siku moja. kwa hiyo pesa,

    ReplyDelete
  12. hii story akiipata Jerry Springer mbona kali sana.

    ReplyDelete
  13. hako kamchezo kanaweza kufanyika hata bila kupewa hizo hela!

    ReplyDelete
  14. wanaume weengi sana tu wako sterile
    sema hawajijui
    wanawake wanawafichia aibu zenu.
    kama mletavo watoto wa nje,so are women kuzaa nje na kuwabandikia watoto,,,limewaganda ilo

    bora nikuletee mtoto wa nje kuliko kuishi na dume mbegu ziro,,,laa sivo wezio wako wengi tu uko nje

    haloooo

    ReplyDelete
  15. Hizi zatokea sana angalia hii hapa ==

    An old married couple had four boys. The older three had red hair and light skin,
    the youngest had black hair and dark eyes.
    On his deathbed, the father turned to his wife and said,
    "Honey, be honest with me. Is our youngest son my child?"
    The wife replied, "I swear on everything holy, he is your son."
    Then he passed away.
    The wife then said, "Thank God he didn't ask about the other three!"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...