Home
Unlabelled
TAFAKARI....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
That is why most of Europe is now as Pagan as the Devil himself. They need Jesus preached to them all over again! Jesus is the hope not science and falsehood!!!
ReplyDeleteWanaume wengi wenye ndoa huwa tunalea watoto wasio wetu. Afadhali mzae mtoto anayekufanana wewe, kile kiwasiwasi kinapotea.
ReplyDeleteKaka siku hizi kulea mtoto ambaye siyo wako ni kutaka tuu kama jamaa yetu wa Ujerumani alivyotaka kuficha aibu yake... DNA zimejaa kibao. Ila kama unajijua una matatizo, basi piga kimya maana huyo mtoto anakutunzia siri. Maana nako kuambiwa huzai mzee mzima unaweza kunywa sumu bure.
ReplyDeleteMie wanangu ni wangu na si wa Jirani kwa sababu majirani zangu wote ni Wazungu! na watoto wangu wametoka weusi na DNA ziko makini! kwa nyie mtajiju!
ReplyDeletekwa kwa kwa
we anony wa saa 03:06:00 hiyo ya kulea watoto wasio wenu ilikuwa zamani! sasa hivi hata uzae mtoto ndani ya ndoa unatakiwa ukahakiki kwenye DNA test! Hiki ni kitu kinaeleweka wazi! hata km ulizaa mtoto miaka 20 iliyopita, nenda ukafanye DNA utapata jibu km ulibambikiziwa au la!karibu kila nchi kuna kipimo hiki!
ReplyDeleteI agree, in Europe the Pagan and Devil are two things synonymous. "They need to be preached" - too late!!
ReplyDeleteIt doesn't make sense at all, I would rather adopt.
Kumbe mlikuwa hamjui hilo? Kama nyie wanaume mnaweza kutoka nje ya ndoa mnafikiri sie wanawake hatuwezi? Tena wanaume wengi hawana uwezo wa kuzaa. Unafikiri mwanamke atakaa na mmewe bila kuzaa huku wakwe wanamzonga. Bora uitembeze sahani nje kitakachowekwa halali yako. Wanaume mpo????? Hata sisi wanawake huwa tunalea watoto wasio wetu. Mme anazaa huko nje anakuletea ulee. Kwa hiyo ngoma drooo. Maisha yanasonga mbele.
ReplyDeleteKWA mfano leo hii unaambiwa huyu sio babako utafanyaje na una25yrs old....au zaidi....
ReplyDelete?????
michuzi usiibanie hii nijibiwe
hahahha hii kali sana inabidi jamaa alete hizo dili huku afrika kwa marijali na vidume vya mbegu!!
ReplyDeleteankal naona ume play back/ume rewind mkanda wa matukio,hii pia uliwahi tuwekea miaka ya nyuma,pamoja naya mkungu wa ndizi.hongera kwa kuwakumbuka ambao hawakuziona.
ReplyDeletekinyogoli.
mleten bongo, du haitachukua hata siku moja. kwa hiyo pesa,
ReplyDeletehii story akiipata Jerry Springer mbona kali sana.
ReplyDeletehako kamchezo kanaweza kufanyika hata bila kupewa hizo hela!
ReplyDeletewanaume weengi sana tu wako sterile
ReplyDeletesema hawajijui
wanawake wanawafichia aibu zenu.
kama mletavo watoto wa nje,so are women kuzaa nje na kuwabandikia watoto,,,limewaganda ilo
bora nikuletee mtoto wa nje kuliko kuishi na dume mbegu ziro,,,laa sivo wezio wako wengi tu uko nje
haloooo
Hizi zatokea sana angalia hii hapa ==
ReplyDeleteAn old married couple had four boys. The older three had red hair and light skin,
the youngest had black hair and dark eyes.
On his deathbed, the father turned to his wife and said,
"Honey, be honest with me. Is our youngest son my child?"
The wife replied, "I swear on everything holy, he is your son."
Then he passed away.
The wife then said, "Thank God he didn't ask about the other three!"