KWA WALE AMBAO HAWAPATI VIZURI MTANDAO WA http://www.globalpublisherstz.com
WANASHAURIWA KUBADILISHA BROWSER NA KUTUMIA mozilla firefox.
IMEONEKANA KWA SASA WEB SITE HIYO HAIFUNGUKI YOTE KWA KUTUMIA internet explorer. NI RAHISA KUBADILISHA, SERACH mozila firefox KISHA DOWNLOAD NA INSTALL KWENYE COMPUTER YAKO.
SAMAHANI KWA USUMBUFU WOWOTE UNAOJITOKEZA KWA SASA
TATIZO LINASHUGHULIKIWA!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mnasubiri mpaka baada ya wiki mbili ndiyo mnatuambia??..tushawakimbia tena..too late!!!

    ReplyDelete
  2. mozilla firefox na Google Chrome ni nzuri. Pazi.

    ReplyDelete
  3. Nitasubiri mpaka wa fix hakuna kitu nachokimisi habari zenyewe za kulipia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...