Ankal,
Taswira hii ni sehemu ya kijiji cha Mchinga II huko Lindi.
Bahari ya hindi inaonekana kwenye uwanja wa nyuma wakati mbele jani limekolea kisawasawa.
Mdau Lilly

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Beautiful Country, Beautiful South!

    ReplyDelete
  2. Hapo ni nyumbani kwa mheshimiwa Mudhihiri Mudhihiri, pazuri sana. Ukifika hapo basi unajua umekaribia kufika nyumbani.
    Nyumbani ni nyumbani jamni mtu asikudanganye.

    ReplyDelete
  3. Kama kusingekuwa na kasumba za Nyerere MT iko bomba sana shinda hata sehemu yeyote ile hapa TZ, nani anabisha?

    ReplyDelete
  4. queen latifahMarch 10, 2010

    OMG! this is beautiful! kwa nini hizi sehemu nzuri hivi hazijulikani? nchi yetu nzuri sana hasa sehem kama hizi zisizojulikana, asante Lilly kwa picha nzuri, nikija likizo ntatembelea mtwara.

    ReplyDelete
  5. we anoni hapo juu acha uongo. kwa mudhihir ni Lindi na sio Mtwara. acha kukurupuka.

    ReplyDelete
  6. Ama aliyeleta habari kachemka kusema kuwa hapo ni Mtwara au wewe uliyesema ni nyumbani kwa Mudhihir umechemka kama itakuwa ni mchinga II ya Mtwara. Mchinga iko Lindi na si Mtwara

    ReplyDelete
  7. kila munu ave nakwao(kuchichilako) kwanza shikamoo mdau lilly kwakutuletea hii taswira yaani nimefurahi sana kupaona kukaya ni longtime sana kwakweli unastahili pongezi nyingi big up sana mdau.

    ReplyDelete
  8. kumbe hata huko kuna "kipleft"

    sio siri ngoma green ile ile, safi sana, zidi kuleta picha kama hizi.

    ReplyDelete
  9. Mandhari imependeza sana.

    Mungu ametupendelea lakini wenyewe hatujipendi.

    Kumbe Ntwara kuzuri hivi!!!

    Asante sana mdau.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  10. ...sitaoa tena Mchinga...kila siku safarini...nani aliimba hii?

    ReplyDelete
  11. UMEAMBIA "MCHINGA II2, SIYO MCHINGA, MCHINGA YA MUDHIHIRI INAITWA MCHINGA, NA YA NTWARA INAITWA "MCHINGA II" HIZO SEHEMU SI SAFI SANA KWA KUJENGA MAHITEL YA KITALII KUVUTIA WATALII

    ReplyDelete
  12. MDAU ALIETOA HIYO PICHA KAWAPOTOSHA...MCHINGA HAIKO MTWARA IKO MKOA WA LINDI.

    ReplyDelete
  13. Mdau Lily, naomba uwaulize wao wenyeji kama wanapauza!

    ReplyDelete
  14. Masahihisho;
    Mchinga II iko mkoani Lindi, kilometa 32 kutoka Lindi mjini na sio Mtwara, naona mhariri alipitiwa kidogo. Ni kijiji anachotoka Mudhihir Mudhihir.

    Mdau Lilly

    ReplyDelete
  15. hapo viwanja bei gani? miminataka kuja kujenga pembeni mwa bahari lakini bei za Dar sitaziweza...Huko chini tukija kwa nguvu kutachangamka

    ReplyDelete
  16. Mbona mnachekesha jamani!Maelezo ya mdau yanaonesha Lindi, sasa huo ubishi wa Mtwara umetoka wapi? Au nyie vipofu? Kabla ya comment hebu kuweni makini kidogo. Mnaboa.

    ReplyDelete
  17. Anoy wa saa 7:39, samahani sana kwa kukurupuka kwangu naona nimekukwaza. Ila nikiangalia vizuri naona muandishi kaandika MCHINGA ya Lindi na nnavyojua ndiko atokako Mudhihiri ndo maana nilikurupuka, nsamehe ndugu.

    ReplyDelete
  18. Zamni ilikuwa ADHABU kupewa posting Lindi au Mtwara! Duh! Kumbe pazuri!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...