Home
Unlabelled
taswira toka kusini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Beautiful Country, Beautiful South!
ReplyDeleteHapo ni nyumbani kwa mheshimiwa Mudhihiri Mudhihiri, pazuri sana. Ukifika hapo basi unajua umekaribia kufika nyumbani.
ReplyDeleteNyumbani ni nyumbani jamni mtu asikudanganye.
Kama kusingekuwa na kasumba za Nyerere MT iko bomba sana shinda hata sehemu yeyote ile hapa TZ, nani anabisha?
ReplyDeleteOMG! this is beautiful! kwa nini hizi sehemu nzuri hivi hazijulikani? nchi yetu nzuri sana hasa sehem kama hizi zisizojulikana, asante Lilly kwa picha nzuri, nikija likizo ntatembelea mtwara.
ReplyDeletewe anoni hapo juu acha uongo. kwa mudhihir ni Lindi na sio Mtwara. acha kukurupuka.
ReplyDeleteAma aliyeleta habari kachemka kusema kuwa hapo ni Mtwara au wewe uliyesema ni nyumbani kwa Mudhihir umechemka kama itakuwa ni mchinga II ya Mtwara. Mchinga iko Lindi na si Mtwara
ReplyDeletekila munu ave nakwao(kuchichilako) kwanza shikamoo mdau lilly kwakutuletea hii taswira yaani nimefurahi sana kupaona kukaya ni longtime sana kwakweli unastahili pongezi nyingi big up sana mdau.
ReplyDeletekumbe hata huko kuna "kipleft"
ReplyDeletesio siri ngoma green ile ile, safi sana, zidi kuleta picha kama hizi.
Mandhari imependeza sana.
ReplyDeleteMungu ametupendelea lakini wenyewe hatujipendi.
Kumbe Ntwara kuzuri hivi!!!
Asante sana mdau.
(US Blogger)
...sitaoa tena Mchinga...kila siku safarini...nani aliimba hii?
ReplyDeleteUMEAMBIA "MCHINGA II2, SIYO MCHINGA, MCHINGA YA MUDHIHIRI INAITWA MCHINGA, NA YA NTWARA INAITWA "MCHINGA II" HIZO SEHEMU SI SAFI SANA KWA KUJENGA MAHITEL YA KITALII KUVUTIA WATALII
ReplyDeleteMDAU ALIETOA HIYO PICHA KAWAPOTOSHA...MCHINGA HAIKO MTWARA IKO MKOA WA LINDI.
ReplyDeleteMdau Lily, naomba uwaulize wao wenyeji kama wanapauza!
ReplyDeleteMasahihisho;
ReplyDeleteMchinga II iko mkoani Lindi, kilometa 32 kutoka Lindi mjini na sio Mtwara, naona mhariri alipitiwa kidogo. Ni kijiji anachotoka Mudhihir Mudhihir.
Mdau Lilly
hapo viwanja bei gani? miminataka kuja kujenga pembeni mwa bahari lakini bei za Dar sitaziweza...Huko chini tukija kwa nguvu kutachangamka
ReplyDeleteMbona mnachekesha jamani!Maelezo ya mdau yanaonesha Lindi, sasa huo ubishi wa Mtwara umetoka wapi? Au nyie vipofu? Kabla ya comment hebu kuweni makini kidogo. Mnaboa.
ReplyDeleteAnoy wa saa 7:39, samahani sana kwa kukurupuka kwangu naona nimekukwaza. Ila nikiangalia vizuri naona muandishi kaandika MCHINGA ya Lindi na nnavyojua ndiko atokako Mudhihiri ndo maana nilikurupuka, nsamehe ndugu.
ReplyDeleteZamni ilikuwa ADHABU kupewa posting Lindi au Mtwara! Duh! Kumbe pazuri!
ReplyDelete