Balozi wa ugojwa wa Matende (ELEPHANTIASIS DISEASE) kwa nchi za Mashariki na Afirica ya kati (Ambassador for Elephantiasis disease in East and Central Africa) ambae pia ni mshiriki wa BBA2 Tatiana Durao kutoka Angola akiongea na wandishi wa habari jijini Dar kuhusu kusherehekea siku yake ya kuzaliwa Machi 31, 2010 pamoja na hilo atafanya ziara fupi katika kisiwa cha Unguja pamoja na kuwasaidia watoto wa KIWOHEDE wa jijini Dar. Kulia ni mwenyeji wake Mmiliki wa Trumedia Alice Mutumba (kushoto) leo jijini Dares salaam akimtambulisha Balozi wa Matende Tatina Durao (kulia) mbele ya waandishi wa habari walipokutana nao

Tatiana akiwa na Alice Mutumba na msaidizi wake Ebmenalda Antonio
Tatiana akiaga baada ya mkutano na wanahabari leo.
Picha zote na Mwanakombo Jumaa - MAELEZO




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. kaja kufanya nini naye huyu?matende matende ah!kumrusha roho tu mzungu wa watu ay!lol

    ReplyDelete
  2. Karibu shemeji, kwa ujio huu wa kichokozi matende yatakuwa historia tu.

    ReplyDelete
  3. Hakuna kitu.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  4. Wecome to TZ Tatiana. Long live Tanzania-Angola relationship!!!!!!!!!!!!1

    ReplyDelete
  5. aache hizo huyu kamfata richard tuu samahani sana kaka wa watu ndoa yake iko mswano na wana mtoto dada maliza ishu zako za matende urudi kwenu

    ReplyDelete
  6. chonde chonde chonde, Richard pliiiiiiiiiiiiz! ziba masikio na macho, maana kipindi hiki ni cha hatari kwa ndoa yako. Katika wiki hii ya 'ujio' hata ukienda toilet unapaswa kumuaga mkeo ama sivyo yatakuwa yaleyaleeeeeee.


    Nkyabo Bongo

    ReplyDelete
  7. Kaka Imma Kiliba longtime...nakuona hapo.....umekua mjasiriamali sasa safi sana......

    ReplyDelete
  8. yaliyomo yamo.April 01, 2010

    ama kweli wanaume wa bongo wanajua kujituma wawapo old traford. hadi shemeji kamzukia rich! eti kizingizio ni elephantiasis.

    ReplyDelete
  9. Tatiana tunajua kilichokuleta acha kutuzuga na matende.

    ReplyDelete
  10. ETI HUYU NAE NI STAA AFRICA.

    ReplyDelete
  11. JAMANI DUNIA IMEVAMIWA NA HIZI NYWELE ZA BANDIA, (MMOJA ALISEMA NYWELE ZA MAITI). YAANI IMEKUWA KAMA VILE USIPOWEKA NYWELE BANDIA BASI WEWE SI MWANAMKE/MSICHANA MREMBO. JAMANI WENGIN WAO SIONI HUO UREMBO WA HIZI ARTIFICIAL HAIR. PIA ZINAZUI HEWA KUIBNGIA KATIKA KICHWA NA YAWEZA KUSABABISHA MATATIZO YASIYOWEZA KUTAMBULIKA MAPEMA. UNAKUTA MTU ANA MSONGO NA HASIRA KUMBE KICHWA KIMEKOSA PUMZI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...