Msanii Vicky Kamata yuko mkoani Tabora kwenye maazimisho ya siku ya wanawake duniani na kesho kwenye kilele cha siku hiyo amepangiwa kuimba wimbo maalumu kwa ajili hiyo akishirikiana na wanafunzi wa Tabora girls. Wimbo unaitwa 'Wewe nafasi'. Taswira hizi ni za wa mazoezi ya wimbo huo wa halaiki.
Vicky akiwa na baadhi ya wanafunzi wa Tabora GirlsVicky Kamata shuleni kwao leo huko Tabora



Hey jamani Tabora Girls, my school! Oh the hall, liko vile vile!
ReplyDeletelol my skuli mweeee
ReplyDeleteila wale siafu hapana!!
hongereni madogo kazeni buti msije ishia kuimba tu,muwe wataalam km sie mama zenu
WARSAL="woso"
ReplyDelete