Hello brother Michuzi naomba utufikishie shukrani zetu kwa Vodacom kwa njia ya blogu yetu ya jamii kwa kutupatia vifaa vya michezo kama uonavyo katika picha ikiwa ni harakati za kuimarisha michezo na kuboresha afya kwa veterans wa Masai Fun Club.
Ahsante

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mimi kama mdau wa Masai Fun Club nawapongeza VODACOM kwa moyo wa kujitolea.Tuimarishe afya na upendo kwa njia ya michezo.

    Torino, Italy

    ReplyDelete
  2. halafu mtu aniambie kuwa Tanzania hakuna watu wenye maumbo makubwa ya kupambana na West Africans. hawa wanachohitaji ni gym ya nguvu hapiti Eto`o wala Grogba

    ReplyDelete
  3. Wazee wa VITAMBI kweli wanahitaji Gym maana akikupa BUTI kudadeki utatia akili.

    ReplyDelete
  4. Huyo jamaa kulia mwa hii picha..hilo ni tege au banio au ni picha hii imepinda au mpigaji alipinda mbona sielewi...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...