Mkuu wa Kitengo cha Uchapishaji wa Magazeti ya TSN Mhandisi John Mcharo (kulia) akitoa maelezo kwa wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii ya Wanawake katika Baraza la Wakilishi la Zanzibar jijini leo katika ziara yao ya kutembelea baadhi ya vyombo vya habari kwa ajili ya kuangalia na kujifunza. Picha zote na Mwanakombo Jumaa-Maelezo.


Mbona ni wanaume tu? hii jamii gani ebu tuelezane ukweli.Mi sikubaliani na hali hii nchi azima ibadilike.
ReplyDeleteKemi Kalikawe na Rahima Kipozi ni wanaume? Na hao wenye hijabu za pinki nao ni wanaume?
ReplyDeleteAcheni kukashifu watu. Sio vizuri kusema wanawake wako kama madume au wanaume wako kama majike.
Hata mimi nimemshangaa huyo mdau wa juu hapo alikuwa anamaanisha nini kusema wanaume tu! labda atupe ufafanuzi!
ReplyDeleteMtoto wa Mgema daima atakuwa mgema tu, piga uwa. Yaani huyo mtoto wa Kipozi yupo TBC????
ReplyDeleteASALAM WALEIKUM WAISLAM WENZANGU
ReplyDelete