Mkuu wa Kitengo cha Uchapishaji wa Magazeti ya TSN Mhandisi John Mcharo (kulia) akitoa maelezo kwa wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii ya Wanawake katika Baraza la Wakilishi la Zanzibar jijini leo katika ziara yao ya kutembelea baadhi ya vyombo vya habari kwa ajili ya kuangalia na kujifunza.
Naibu Waziri wa Habari ,Utamaduni na Michezo Mh. Joel Bendera (wa kwanza kulia) akifuatiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Huduma za Jamii ya Wanawake katika Baraza la Wakilishi la Zanzibar pia ni kiongozi katika ujumbe huo Mh. Ali Suleiman Ali pamoja na Ujumbe wake wa Wawakilishi wa Kamati hiyo wakiangalia jinsi ya uendeshaji vipindi wa TBC Taifa. Shoto ni Kemi Kalikawe na anayefuata ni Rahima Ahmed Kipozi wakiendesha kipindi katika studio za TBC Taifa jijini Dar es salaam walipotembelea na kuangalia shughuli mbali mbali katika ziara yao ya mafumzo. ya siku mbili.
Picha zote na Mwanakombo Jumaa-Maelezo.






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mbona ni wanaume tu? hii jamii gani ebu tuelezane ukweli.Mi sikubaliani na hali hii nchi azima ibadilike.

    ReplyDelete
  2. Kemi Kalikawe na Rahima Kipozi ni wanaume? Na hao wenye hijabu za pinki nao ni wanaume?
    Acheni kukashifu watu. Sio vizuri kusema wanawake wako kama madume au wanaume wako kama majike.

    ReplyDelete
  3. Hata mimi nimemshangaa huyo mdau wa juu hapo alikuwa anamaanisha nini kusema wanaume tu! labda atupe ufafanuzi!

    ReplyDelete
  4. Mtoto wa Mgema daima atakuwa mgema tu, piga uwa. Yaani huyo mtoto wa Kipozi yupo TBC????

    ReplyDelete
  5. ASALAM WALEIKUM WAISLAM WENZANGU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...