Dear Esteemed Customers.

ZANLINK is very happy to announce that it has now upgraded its customer support and call center services with the following facilities:


*We have added another direct line to our customer support and call center besides the existing 2237480. This line is 0777 476 666. Both lines will operate between Mondays - Fridays between 8:00 a.m and 5:00 p.m and 8:00 a.m and 1:00 p.m on Saturdays.


*After office hours and during public holidays our customer support shall be available on our emergency line on 0777 477 777 as below:
*Monday - Friday: Between 6:00a.m to 8:00 a.m in the morning and again between 5:00 p.m and Midnight (12:00 p.m)

*Saturdays: Between 6:00a.m to 8:00 a.m in the morning and again between 1:00 p.m and Midnight (12:00 p.m)

*Sundays and all Public holidays: Between 6:00a.m and Midnight (12:00 p.m)

We have added the above facilities in the bid to ensure that our clients can now enjoy much better support from us when they face any problems with our services.

Thank you for selecting ZANLINK as your ISP

ZANLINK Staff and Management Team
Zee Communications LTD (ZANLINK)
P.O. Box 4204, Zanzibar, Tanzania
Tel: + 255 24 2237480/1, 0777 476 666
Fax: + 255 24 2237482
Cell: + 255 24 778 688 440
E mail: info@zanlink.com
URL: www.zanlink.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 33 mpaka sasa

  1. Hongera ZANLINK!!

    You guys really rock the cyber space and always raise the bar. Your customer support service is indeed unmatched.

    Keep it up

    ReplyDelete
  2. ZANLINK - these guys in Zanzibar ni tishio kweli wanaweka mfano nchni kwa best customer service. Wana TEAM bomba ambayo inatoa huduma safi na siku zote inaimprove tu... kweli wanastahili pongezi

    big Up!!!

    ReplyDelete
  3. ZANLINK has indeed provided the best support to its clients. They operated efficiently even during the 3 months power problems in Zanzibar and provided most efficient services.

    In fact they had set up a hot spot center in their offices from morning untill midnight and invited its customers who did not have Internet service due to power problems to come and use services at its center!!

    they are serious.

    ReplyDelete
  4. ZANLINK kwa Campuni ambazo zinatoa huduma basi wanaongoza - wanajua biashara na wanajua kutoa huduma. Wana team nzuri tuuuu na kweli wanajua kazi. Ukireport problem basi papo hapo tu. Na sasa watakuwa wazi mpaka MIDNIGHT!!

    Lazima tujifunze kutoka kwao

    ReplyDelete
  5. Internet service za ZANLINK zinasifika sana. Mimi ni mmoja kati ya wateja wao na siku zote wanatufurahisha kwa service zao. Wanaongoza zenji lazima tukubali na Pemba pia wapo. Wanastahili watanue service zao kwenda bara sasa wakatoe ushindani kwa kampuni za huko - jamaa watatia akili...

    ReplyDelete
  6. This is what we expect of ZANLINK - increase support all the time... mimi nakumbuka kama wiki 3 niliwapelekea wazo kama hilo la kuextened support yao mpaka usiku na baada ya wiki 3 tu wamesha implement. Ikiwa kama Kampuni zitasikiliza wateja kama zanlink basi kila siku zitapata ongezeko la wateja.... hii inaitwa customer service --

    mimi nimefurahi wazo langu wamelichkulia seriously

    ReplyDelete
  7. ZANLINK has the best customer relatioship programme - mimi nikiwa na tatizo basi anakuja fundi wao kunisaidia na baada ya kutatua tatizo basi siku ya pili napokea simu kutoka ofisini kwao kuniuliza kama nimeridhika na huduma niliyoipata na kama tatizo langu limemaliza - mara ya mwisho huduma kama hii naikumbuka huko Afrika ya Kusini tu....

    ReplyDelete
  8. The truth is when u r serious abt ur business clients will flock in... mimi sijawahi kutumia huduma za zanlinki lakini nasikia ni nzuri sana.. pamoja na support wanayoitoa basi bomba - subiri na mie nikajiunge nao!!

    here we come ZANLINK!!!

    ReplyDelete
  9. ZANLINK wana FOCUS!! pana guru mmoja mahiri katika mambo ya uongozi aliwahi kusema FOCUS ndio key ya kuifanya kampuni yako iongoze!!

    hongera wanaZANLINK

    ReplyDelete
  10. Wako wapi hao ZANLINK wnasifiwa sana... au zenji??

    leo zenji inaongoza kuwa na kampuni bora... sisi tulifikiria bongo ndio fast haya

    ReplyDelete
  11. jamaa kweli wako fasta kurespond mahitaji ya wateja.. wanajua wateja wanataka nini.. hogera ZANLINK

    ReplyDelete
  12. ZANLINK wnaongoza kuwa na wateja... wateja wote wanahamia huko siku hizi.. maana wana mtandao mzuri, fasta, huduma nzuri na timu bomba...

    mdau ughaibuni

    ReplyDelete
  13. mimi ni fundi nimesomea mambo ya IT lakini sina kazi jeee hawa zanlink watanichukua waniajiri huko? anco michuzi naomba itume hiyo nipate kuajiriwa nishachoka kukaa bila kazi...

    mdau

    ReplyDelete
  14. yani ukiangalia kwa umakini utajua all this comment zimewekwa na mtu mmoja,tunajua mnahuduma nzuri lakini the way mlivyojiwekea comment wenyewe ni kama kujidanganya,ukicheni hiyo msg 9 za mwanzo utaona the way zinafanana,na kwenye jina la company ameweka capital letters.hongera kwa kujipa marketing,lakini kama mnataa ushauri mngewacha watu wengine wachangie.

    ReplyDelete
  15. Anon 02:20 PM nimekusoma ndugu yangu, amenijibia maswali yote hahahahaaaa aah, bongo bwana!

    ReplyDelete
  16. wapinzani haooooooooo ZANLINK ni trademark yao ukiangalia nyuz hii, website yao na popote pale basi ZANLINK ni capital letters.. kama TTCL ni capital sasa kuna la nini ajabu.. mnachunguza kitu ambacho kiko wazi...

    ReplyDelete
  17. Hiyo kampuni inayochunguzwa kwa capital au small letters iko wapi jamani??

    ReplyDelete
  18. nasikia zenji juna boti imweka moto??

    ReplyDelete
  19. ushindani, capital letters, small letters, uchunguzi, biashara bwana!

    Kampuni kama ni ZANLINK au small letter zanlink kama inatoa huduma nzuri basi hapana budi kuacknowledge...

    ReplyDelete
  20. Anon wa 2:20 sioni kwamba comments zimefanana mbali na jina la compuni ni capital... mimi naifahamu ZANLINK (zanlink??) tokea ina miaka 2 nikitumia huduma yao.. na mpaka leo naisikia nipo Norway lakini bado inazidi kutamba. Kama mpinzani basi cool down

    mdau Norway

    ReplyDelete
  21. ongezeni huduma msisite hapo mlipofika... waachieni wapinzani vumbi tuuu c'mon c'mon we need pppl like u

    ReplyDelete
  22. nasikia rooney kafunga bao huko eti kweli??

    ReplyDelete
  23. Anon wa 12:53 ni nani huyo guru wa mambo ya uongozi?

    ReplyDelete
  24. George (Anon wa 12:45) unasema maoni yako yamechukuliwa seriously na ktundewa kazi? nami ni mteja wa zanlin ninataka waniongezee speed niweze kuangalia video stream... ijapokuwa naweza sasa hivi lakini pana siku inakwama kidogo..? sijui kama wananikubalia lol:))

    ReplyDelete
  25. wache waseme wapinzani zanlink/ZANLINK kama ni capital au small letters nyie endeleeni tu na mkakati wenu wa kutoa huduma bora tunawataka watu kama nyinyi..

    ReplyDelete
  26. kweli biashara ushindani mtupu.. kampuni inatoa huduma nzuri na watu wanaisifu lakini wapinzani wako karibu kuiponda michango ya wadau.. eti comments zimefanana kwa sababu ya capital letters... aaah waachieni waendelee na mikakati yao

    ReplyDelete
  27. ONGERA ZANLINK KWA IYO ATUA MLIO IFIKIA.ENDELEA IVYO IVYO BAADAE TUNAISI MTATAO SUPPORT MASAA 24.
    USHAURI WANGU MSIBWETEKE NA MAFANIKIO MLIO NAYO.KILA LA KHER.

    ReplyDelete
  28. Hiyo ZANLINK ndio ZANTEL au ni tafauti? Ila jamaa wa 02:20 kama kawashitukia vile maana hata dakika zinafanana fwanana. Hebu njooni Bara na sie tuwashuhudie kama hizo sifa mnazojimiminia ni za kweli au porojo za mwambao tu.

    ReplyDelete
  29. haroo hawa anons wanaosema wamejisifia naona wapinzani tuu..... eti mala dakika zinafanana mara jina la kampuni liko kwa helufi kubwa mara lile... hebu waachieni waendelee na huduma zao nzuli....njooni bara pia tunhitaji watu kama nyie maana na huku huduma zimekufa.. hongeereeni ila msije mkavimba vichwa tu..

    ReplyDelete
  30. thanks for extending time...

    ReplyDelete
  31. Ngoja nikate umeme tena

    ReplyDelete
  32. ebu acheni kujidanganya kama sio kudanganya mabosi wenu. haiwezekani kwa kila dakika mbili, mtu aandike kuisifia zanlink labda kama mliwaambia wateja wenu mnataka promotion kwa michuzi.

    ReplyDelete
  33. Walewale wa kujivika magwanda ya kijani wakati wa kujisimika ukamanda katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...