muuza mawifu katika mji wa mwankenja a.k.a kiwira,
kilomita chache toka mji wa tokyo (tukuyu) akinadi bidhaa kwa ankal
inabidi ankal atoke garini kutesti mawifu
hapo ni kinyakyusa tu
jamani ankal aliyamisi sana mawifu






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Inasikitisha kuona wananachi wenzetu wanavyoishi kwa taabu. Musa njoo utukomboe Tanzania. Musa uko wapi?

    ReplyDelete
  2. we ankal usisahau kipindupindu eenh uoshe hayo makulaji blogu hii bado tunakuhitaji, hapohapo msaada tutani kwanini ndizi bukoba zikiiva zinaitwa ndizi makunduu????!!

    ReplyDelete
  3. Wewe mdau wa 1 hapo, yaani watu kutafuta maisha kwa kuuza ndizi na matunda ndiyo kuteseka? Ulitaka wakae nyumbani utawalisha wewe?
    Mbona watu waliopo ulaya wanabeba mzigo, ni sawa na makuli wetu huku bongo! Tofauti ni kuwa ulaya (kwa sababu ya kuwa na uchumi mkubwa) wanalipa vema. Na uchumi haukuwi kwa wiki moja. Inawezakuchukua karne nzima.

    ReplyDelete
  4. Mamaaaaa maparachichi na hizo ndizi.....

    Hlafu bado hawajakupa senene. Huko wanakulaga senene pia.

    ReplyDelete
  5. Anony wa kwanza acha ujinga hao watu hawaishi kwa taabu, au ume craim maisha. Kwa ushamba wako unajua mtu anaye ishi vizuri ni yule aliye huko mjini anakula matunda ya kopo. Siji mjini mimi haya maisha nayapenda sana.

    Asajile Kapufi
    Kiwira

    ReplyDelete
  6. ANKAL NAKUONA NA HILO DUDE JEUSI, AUDI NINI BABU?

    ReplyDelete
  7. we anony wa kwanza ukiona mama yuko sokoni anauza matunda ndio maisha ya taabu hayo?inaonekana hujaona maisha ya taabu Wewe inafaa tukupeleke Sudani au Somalia ukaone watu wanaoishi maisha ya taabu.

    ReplyDelete
  8. Ankal unanikumbusha kukaja mwe!!!
    Nirushie hizo ndizi basi.....
    nasikia utamuuu...

    Kwani ww Ankal ni mtu wa huko kwetu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...