Home
Unlabelled
ankal afakamia mawifu tokyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Inasikitisha kuona wananachi wenzetu wanavyoishi kwa taabu. Musa njoo utukomboe Tanzania. Musa uko wapi?
ReplyDeletewe ankal usisahau kipindupindu eenh uoshe hayo makulaji blogu hii bado tunakuhitaji, hapohapo msaada tutani kwanini ndizi bukoba zikiiva zinaitwa ndizi makunduu????!!
ReplyDeleteWewe mdau wa 1 hapo, yaani watu kutafuta maisha kwa kuuza ndizi na matunda ndiyo kuteseka? Ulitaka wakae nyumbani utawalisha wewe?
ReplyDeleteMbona watu waliopo ulaya wanabeba mzigo, ni sawa na makuli wetu huku bongo! Tofauti ni kuwa ulaya (kwa sababu ya kuwa na uchumi mkubwa) wanalipa vema. Na uchumi haukuwi kwa wiki moja. Inawezakuchukua karne nzima.
Mamaaaaa maparachichi na hizo ndizi.....
ReplyDeleteHlafu bado hawajakupa senene. Huko wanakulaga senene pia.
Anony wa kwanza acha ujinga hao watu hawaishi kwa taabu, au ume craim maisha. Kwa ushamba wako unajua mtu anaye ishi vizuri ni yule aliye huko mjini anakula matunda ya kopo. Siji mjini mimi haya maisha nayapenda sana.
ReplyDeleteAsajile Kapufi
Kiwira
ANKAL NAKUONA NA HILO DUDE JEUSI, AUDI NINI BABU?
ReplyDeletewe anony wa kwanza ukiona mama yuko sokoni anauza matunda ndio maisha ya taabu hayo?inaonekana hujaona maisha ya taabu Wewe inafaa tukupeleke Sudani au Somalia ukaone watu wanaoishi maisha ya taabu.
ReplyDeleteAnkal unanikumbusha kukaja mwe!!!
ReplyDeleteNirushie hizo ndizi basi.....
nasikia utamuuu...
Kwani ww Ankal ni mtu wa huko kwetu?