Mkurugenzi wa Biashara za wateja binafsi wa Benki ya Barclays, Manoj Anchan (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa huduma mpya ya Premier Life iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kempisk Dar es Salaam jana.Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa Benki hiyo,David Lubira.
Mkurugenzi wa Biashara za wateja binafsi wa Benki ya Barclays,Manoj Anchan wa akizindua huduma mpya ya Premier Life kwa wateja wa Benki hiyo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kempisk Dar es Salaam jana.Waliokaa mezani kutoka kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Premier Life,William Mungai na Mkurugenzi wa Masoko wa Benki hiyo,David Lubira



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michuzi, mbona unakuwa hauwafanyii haki hawa jamaa wa Barclays? Nilitarajia kwa taaluma yako ya uandishi wa habari, angalau ungeeleza kwa ufupi hiyo huduma ya Premier Life ni nini hasa. Lakini kutuonesha picha za matukio peke yake, sidhani kama unatusaidia sisi wadau wako na pia hauwasaidii hao jamaa wa Barclays. Huu ni ushauri tu!!

    ReplyDelete
  2. Mdau wa kwanza kabisa hapo juu ukiona hivyo ujue Michuzi na yeye katoka kapa, labda hajaelewa hiyo Premier Life ndio mdudu gani. Michuzi anajua Premier League bwana.

    Inatakiwa watu wa Barclays kupitia kwa PR Department yao watengeneze Press Release ambayo Michuzi atakachofanya ni kuibandika kama ilivyo. Siio wampe Michuzi kibarua cha ziada kuelewa Premier Life ndio mdudu gani. Akikosea je akaielezea ndivyo sivyo si atakuwa amewaharibia soko?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...