Home
Unlabelled
Barclays Bank yazindua huduma ya Premier Life
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi, mbona unakuwa hauwafanyii haki hawa jamaa wa Barclays? Nilitarajia kwa taaluma yako ya uandishi wa habari, angalau ungeeleza kwa ufupi hiyo huduma ya Premier Life ni nini hasa. Lakini kutuonesha picha za matukio peke yake, sidhani kama unatusaidia sisi wadau wako na pia hauwasaidii hao jamaa wa Barclays. Huu ni ushauri tu!!
ReplyDeleteMdau wa kwanza kabisa hapo juu ukiona hivyo ujue Michuzi na yeye katoka kapa, labda hajaelewa hiyo Premier Life ndio mdudu gani. Michuzi anajua Premier League bwana.
ReplyDeleteInatakiwa watu wa Barclays kupitia kwa PR Department yao watengeneze Press Release ambayo Michuzi atakachofanya ni kuibandika kama ilivyo. Siio wampe Michuzi kibarua cha ziada kuelewa Premier Life ndio mdudu gani. Akikosea je akaielezea ndivyo sivyo si atakuwa amewaharibia soko?