Home
Unlabelled
dar tambarare, siku ya tatu leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hii ni laana ya muungano!
ReplyDeletewapemba hawakulala juzi,wanasoma madua ya kuiangamiza tanganyika.
vitu vinaanza hivyooooooo.
"barabara ya bagamoyo road"
ReplyDeleteteh teh
duh jamani saa nyingine wazungu wapo tukandia tunaona ni ubaguzi wa rangi hila siyo kweli. wanapo sema one of the poorest country in the earth awajakosea kabisa
ReplyDeleteMaisha Bora kwa Kila Mtanzania... Chagua CCM Chagua Kiwete!!
ReplyDeleteBarabara ya Nyerere pale Super Doll kasheshe pia, gari ndogo zinazama.
Tanzania Bila Malaria .....!!!! Pita jangwani ujionee mwenyewe jinsi huu msemo unavyojidhihirisha....! Mwe mwe!!! Nagira.
ReplyDeleteWhere's John Mashaka? Please,write some articles about this and everything will fine,John.LOL
ReplyDeleteTanzania Bila Malaria.......!!! imeshakuwa haiwezekani maeneo yanatisha na pia yale mapesa yetu ya epa yaliyokuwa yamepatikana yanafanya kazi gani jamani si yatengenezee MIUNDOMBINU mie naliaa
ReplyDeletehayo sasa yako, muungano unahusiana nn na mafuriko? au leo ndio ya kwanza hali hii kutokea???????
ReplyDeletekuwa na akili ww, eti wapemba!!!!
hata kuwataja hujui!, pemba ni sehemu sio watu, wataje wanaitwa nani.
la muhimu ni kufikiria ni jinsi gani tutaikomboa Tanzania na majanga kama haya, sio kuanza kuleta mawazo yako ya kichawi, THINK
we jamaa vp ww???? mzima kweli kichwani!!!
ReplyDeletebaada ya kufikiria ni jinsi gani ya kuisaidia Tanzania kujikwamua na majanga kama haya, eti oooh madua ya wapemba, shame on you!!!
kwanza hata kuwajua kwenyewe huwajui, pemba ni sehemu sio watu, usiwe unaropoka tu kipuuzi, THINK
Nimezipenda comments za wakereketwa......ENYI KIZAZI KILICHOLAANIKA....KUSOMA HAMUWEZI.....JE KINACHOWASHINDA KUTAZAMA NA KUTAFSIRI PICHA NI KIPI..............NOW UCHAGUZI WA MIAKA MITANO MINGINE YA LAANA NA MACHUNGU IKO MIKONONI MWENU!!!....NA KWA VILE MACHO YENU YAMESHINDWA KUTAFSIRI RANGI..BASI NI HAKIKA MTACHAGUA RANGI ILE ILE.
ReplyDeleteWadau, mnaonaje endapo katiba ikibadilishwa kidogo na uchaguzi mkuu uwe unafanyika nyakati hizi?
ReplyDeleteYesu na maria!!!!!!!Lol bongo ni aibu ya mwaka.Mdau USA.
ReplyDeleteNagira umenikuna kweli. Hiyo Project ya TANZANIA BILA MALARIA INAWEZEKANA. Amaaa walimwingiza RAIS wetu MKENGE. Hakuna kitu kilichofanyika madimbwi ya maji yalosimama kila kona. Ni hatari sana. Naomba niishie hapa mana nikikumbuka siku walipozindua ile project ya malaria nasikia kiafrika afrika.
ReplyDelete