dar imekuwa tambarare kwa siku tatu mfululizo kufuatia mvua inayoendelea kunyesha kutwa kucha na kusababisha mafuriko karibu kila sehemu ya jiji. hapa ni maeneo ya barabara ya bagamoyo road mikocheni
kituo cha basi cha tanesco mikocheni
mwendo ni wa kusuasua kwani hujui wapi pana shimo ama korongo ama jiwe



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. hii ni laana ya muungano!
    wapemba hawakulala juzi,wanasoma madua ya kuiangamiza tanganyika.
    vitu vinaanza hivyooooooo.

    ReplyDelete
  2. "barabara ya bagamoyo road"
    teh teh

    ReplyDelete
  3. duh jamani saa nyingine wazungu wapo tukandia tunaona ni ubaguzi wa rangi hila siyo kweli. wanapo sema one of the poorest country in the earth awajakosea kabisa

    ReplyDelete
  4. Maisha Bora kwa Kila Mtanzania... Chagua CCM Chagua Kiwete!!

    Barabara ya Nyerere pale Super Doll kasheshe pia, gari ndogo zinazama.

    ReplyDelete
  5. Tanzania Bila Malaria .....!!!! Pita jangwani ujionee mwenyewe jinsi huu msemo unavyojidhihirisha....! Mwe mwe!!! Nagira.

    ReplyDelete
  6. Where's John Mashaka? Please,write some articles about this and everything will fine,John.LOL

    ReplyDelete
  7. Tanzania Bila Malaria.......!!! imeshakuwa haiwezekani maeneo yanatisha na pia yale mapesa yetu ya epa yaliyokuwa yamepatikana yanafanya kazi gani jamani si yatengenezee MIUNDOMBINU mie naliaa

    ReplyDelete
  8. hayo sasa yako, muungano unahusiana nn na mafuriko? au leo ndio ya kwanza hali hii kutokea???????
    kuwa na akili ww, eti wapemba!!!!
    hata kuwataja hujui!, pemba ni sehemu sio watu, wataje wanaitwa nani.
    la muhimu ni kufikiria ni jinsi gani tutaikomboa Tanzania na majanga kama haya, sio kuanza kuleta mawazo yako ya kichawi, THINK

    ReplyDelete
  9. we jamaa vp ww???? mzima kweli kichwani!!!
    baada ya kufikiria ni jinsi gani ya kuisaidia Tanzania kujikwamua na majanga kama haya, eti oooh madua ya wapemba, shame on you!!!

    kwanza hata kuwajua kwenyewe huwajui, pemba ni sehemu sio watu, usiwe unaropoka tu kipuuzi, THINK

    ReplyDelete
  10. Nimezipenda comments za wakereketwa......ENYI KIZAZI KILICHOLAANIKA....KUSOMA HAMUWEZI.....JE KINACHOWASHINDA KUTAZAMA NA KUTAFSIRI PICHA NI KIPI..............NOW UCHAGUZI WA MIAKA MITANO MINGINE YA LAANA NA MACHUNGU IKO MIKONONI MWENU!!!....NA KWA VILE MACHO YENU YAMESHINDWA KUTAFSIRI RANGI..BASI NI HAKIKA MTACHAGUA RANGI ILE ILE.

    ReplyDelete
  11. Wadau, mnaonaje endapo katiba ikibadilishwa kidogo na uchaguzi mkuu uwe unafanyika nyakati hizi?

    ReplyDelete
  12. Yesu na maria!!!!!!!Lol bongo ni aibu ya mwaka.Mdau USA.

    ReplyDelete
  13. Nagira umenikuna kweli. Hiyo Project ya TANZANIA BILA MALARIA INAWEZEKANA. Amaaa walimwingiza RAIS wetu MKENGE. Hakuna kitu kilichofanyika madimbwi ya maji yalosimama kila kona. Ni hatari sana. Naomba niishie hapa mana nikikumbuka siku walipozindua ile project ya malaria nasikia kiafrika afrika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...