Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,David Minja akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kufanyika kwa droo ya mashindano ya Kili Taifa Cup katika ukumbi wa mikutano wa TFF leo,wengine ni Salim Madadi (kulia) na Iddy Mshangama wote ni Maafisa wa TFF
wadau wa Exective Solution,Mike na Carol wakifuatilia kwa makini droo ya mashindano ya Kili Taifa Cup iliyokuwa ikichezeshwa leo katika ukumbi wa mikutano wa TFF.
waandishi wa habari wakichagua makundi ya timu zitakazocheza katika mashindano ya Kili Taifa Cup

====================================
FIXTURE KILI TAIFA CUP - 2010
GROUP 'A' - DODOMA
(a) Dodoma
(b) Kigoma
(c) Singida
(d) U - 20

SN - DATE - CODE - TEAMS - TIME - GROUND
1. 5/8/2010 A/B Singida V/S U-20 14:00 HRS JAMHURI ST.
2. 5/8/2010 C/D Dodoma V/S Kigoma 16:00 HRS JAMHURI ST.
5/9/2010 REST DAY

3. 5/10/2010 B/C U-20 V/S Dodoma 14:00 HRS JAMHURI ST.
4. 5/10/2010 D/A Kigoma V/S Singida16:00 HRS JAMHURI ST.

5/11/2010 REST DAY

5. 12-May A/C Singida V/S Dodma 14:00 HRS JAMHURI ST.
6. 12-May-10 D/B Kigoma V/S U-20 16:00 HRS JAMHURI ST.
GROUP 'B' - TANGA
(a) Tanga
(b) Morogoro
(c) Pwani
(d) Temeke

SN - DATE - CODE - TEAMS - TIME - GROUND
1. 5/8/2010 A/B Tanga V/S Morogoro 14:00 HRS MKWAKWANI
2. 5/8/2010 C/D Pwani V/S Temeke 16:00 HRS MKWAKWANI

5/9/2010 REST DAY

3. 5/10/2010 B/C Morogoro V/S Pwani 14:00 HRS MKWAKWANI
4. 5/10/2010 D/A Temeke V/S Tanga 16:00 HRS MKWAKWANI

5/11/2010 REST DAY

5. 12-May A/C Tanga V/S Pwani 14:00 HRS MKWAKWANI
6. 12-May-10 D/B Temeke V/S Morogoro 16:00 HRS MKWAKWANI

GROUP 'C' - MWANZA
(a) Mwanza
(b) Kagera
(c) Shinyanga
(d) Tabora

SN - DATE - CODE - TEAMS - TIME - GROUND
1. 5/8/2010 A/B Shinyanga V/S Kagera 14:00 HRS C.C.M. KIRUMBA
2. 5/8/2010 C/D Mwanza V/S Tabora 16:00 HRS C.C.M. KIRUMBA

5/9/2010 REST DAY

3. 5/10/2010 B/C Kagera vs Mwanza 14:00 HRS C.C.M. KIRUMBA
4. 5/10/2010 D/A Tabora vs Shinyanga 16:00 HRS C.C.M. KIRUMBA

5/11/2010 REST DAY

5. 12-May A/C Shinyanga vs Mwanza 14:00 HRS C.C.M. KIRUMBA
6. 12-May-10 D/B Tabora V/S Kagera 16:00 HRS C.C.M. KIRUMBA

GROUP 'D' - ARUSHA
(a) Arusha
(b) Mara
(c) Manyara
(d) Kilimanjaro

SN - DATE - CODE - TEAMS - TIME - GROUND
1. 5/8/2010 A/B Mara V/S Kilimanjaro 14:00 HRS SHEKH AMRI ABED
2. 5/8/2010 C/D Manyara V/S Arusha 16:00 HRS SHEKH AMRI ABED

5/9/2010 REST DAY

3. 5/10/2010 B/C Kilimanjaro V/S Manyara 14:00 HRS SHEKH AMRI ABED
4. 5/10/2010 D/A Arusha V/S Mara 16:00 HRS SHEKH AMRI ABED

5/11/2010 REST DAY

5. 12-May A/C Mara V/S Manyara 14:00 HRS SHEKH AMRI ABED
6. 12-May-10 D/B Arusha V/S Kilimanjaro 16:00 HRS SHEKH AMRI ABED

GROUP 'E' - IRINGA
(a) Iringa
(b) Mbeya
(c) Rukwa
(d) Kinondoni

SN - DATE - CODE - TEAMS - TIME - GROUND
1. 5/8/2010 A/B Rukwa V/S Mbeya 14:00 HRS SAMORA ST.
2. 5/8/2010 C/D Iringa V/S Kinondoni 16:00 HRS SAMORA ST.

5/9/2010 REST DAY

3. 5/10/2010 B/C Mbeya V/S Iringa 14:00 HRS SAMORA ST.
4. 5/10/2010 D/A Kinondoni V/S Rukwa 16:00 HRS SAMORA ST.

5/11/2010 REST DAY

5. 12-May A/C Rukwa V/S Iringa 14:00 HRS SAMORA ST.
6. 12-May-10 D/B Kinondoni V/S Mbeya 16:00 HRS SAMORA ST.

GROUP 'F' - MTWARA
(a) Mtwara
(b) Lindi
(c) Ruvuma
(d) Ilala

SN - DATE - CODE - TEAMS - TIME - GROUND
1. 5/8/2010 A/B Lindi V/S Ruvuma 14:00 HRS NANGWANA ST.
2. 5/8/2010 C/D Mtwara V/S Ilala 16:00 HRS NANGWANA ST.

5/9/2010 REST DAY

3. 5/10/2010 B/C Ruvuma V/S Mtwara 14:00 HRS NANGWANA ST.
4. 5/10/2010 D/A Ilala V/S Lindi 16:00 HRS NANGWANA ST.

5/11/2010 REST DAY

5. 12-May A/C Lindi VS Mtwara 14:00 HRS NANGWANA ST.
6. 12-May-10 D/B Ilala VS Ruvuma 16:00 HRS NANGWANA ST.

FIXTURE KILI TAIFA CUP - 2010
QUARTER, SEMI FAINAL AND FAINAL
KILIMANJARO TAIFA CUP 2010
FROM 23 MAY, 2010 TO 29 MAY, 2010
UHURU STADIUM - DAR ES SALAAM

SN - DATE - TEAMS - TIME - GROUND
QUARTER FINAL

1. 23 May, 2010 WINNER GROUP 'A' V/s WINNER GROUP 'B' 14:00 HRS UHURU ST - DSM
2. 23 May, 2010 WINNER GROUP 'C' V/s WINNER GROUP 'D' 16:00 HRS UHURU ST - DSM
3. 24 May, 2010 WINNER GROUP 'E' V/s WINNER GROUP 'F' 14:00 HRS UHURU ST - DSM
4. 24 May, 2010 WINNER GROUP 'G' V/s WINNER GROUP 'H' 16:00 HRS UHURU ST - DSM

SEMI FAINAL

5. 25 May, 2010 WINNER GROUP 'A' V/s WINNER GROUP 'B' 16:00 HRS UHURU ST - DSM
6. 26 May, 2010 WINNER GROUP 'C' V/s WINNER GROUP 'D' 16:00 HRS UHURU ST - DSM

27 May, 2010 REST DAY

7. 28 May, 2010 LOOSER No. '5' V/s LOOSER No. '6' 16:00 HRS UHURU ST - DSM
8. 29 May, 2010 WINNER GROUP '5' V/s WINNER GROUP '6' 16:00 HRS UHURU ST - DSM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. SIAMINI KAMA DROO HII ILIKUWA FAIR SIPATI PICHA ETI DROO IMETEUA TIMU NA IKATOKEA ZIMEJIPANGA KIKANDA NAMNA HIYO HILI NI CHANGA LA MACHO ETI DROO NAMNA HII?? KWELI
    Dodoma
    (b) Kigoma
    (c) Singida
    (d) U - 20
    GROUP 'B' - TANGA
    (a) Tanga
    (b) Morogoro
    (c) Pwani
    (d) Temeke

    GROUP 'C' - MWANZA
    (a) Mwanza
    (b) Kagera
    (c) Shinyanga
    (d) Tabora

    GROUP 'D' - ARUSHA
    (a) Arusha
    (b) Mara
    (c) Manyara
    (d) Kilimanjaro

    HII IMEPANGWA KIKANDA NA TIMU MOJAMOJA ZA TEMEKE,ILALA,KINONDONI NA UNDER 20 ZIKACHOMEKWA COZ HAKUNA MECHI ZITAKAZO CHEZEWA DAR

    ReplyDelete
  2. kaziiiiiiii kweli kweli.

    ReplyDelete
  3. Droo hii ni ya mchezo gani?

    ReplyDelete
  4. Mdau hapo juu na kwa kuongezea, Mwenyeji wa kituo lazima apite zengwe litazukwa kama ilivyokua fainali za daraja la kwanza zilizomalika hivi kalibuni Arusha. Si unakumbuka yaliyotokea ? wenyeji kubebwa

    ReplyDelete
  5. Where is Group G & H

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...