Dordon Brown, David Cameron and Nick Clegg have clashed in the third and final prime ministerial debate hosted by BBC News.
Navigate the video by the questions and key moments selected by the BBC's politics team.Hapa utapata kila kitu, maswali yote manane yaliyoulizwa, majibu kwa maandishi na sauti, you just navigate, underneath the video kuna maelezo/majibu kutoka kwa kila mgombea.
Hapa pia angalia manukuu (transcript) kwa maswali na majibu.

Enjoy the ride
Benedict Kimbache
Skype Name: Kimbache1

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2010

    SASA MKUU BEN, ITS (GORDON)and not D>>>>> as u mentioned. anyway sie waswahili bwana. nakutnia tu. siku nyingine check spelling, watakucheka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...