keki
Muanzilishi muendeshaji wa FotoBaraza.Net,Babukadja Sankofa (kulia) akiwa na mmoja wa wadau wakuu wa FotoBaraza.Net na pia ni muendesha kijiji cha Spoti Starehe, Pius Micky wakiwa katika pati ya kutimiza miaka miwili ya hewani ya kijiji hicho,iliyofanyika juzi huko Chadibwa bichi,Kigamboni.
Wadau wa FotoBaraza.Net wakikata keki kwa pamoja
Wadau wakijisevia msosi
msosi ukiendelea kuliwa na wanafotobaraza kwa raha zao
picha ya pamoja kwa wanakijiji wote waliofika katika pati hiyo iliyofanyika kule Chadibwa bichi iliopo Kigamboni mbele kidogo ya Mikadi bichi.
kwa picha zaidi
BOFYA HAPA


FOTOBARAZA OYEEEEE....!!!!!
ReplyDeleteCHIBI.
hivi ni kwa nini hawa wanajiita fotobaraza.net ilhali sio wamiliki wa webpage ya fotobaraza.net?
ReplyDeleteukitiza address yao utaona kuwa ni nyengine kabisa!!!
KUNYWA POMBE SO DHAMBI
ReplyDeleteKULA NGURUWE SO DHAMBI
KUOA WANAWAKE WENGI SO DHAMBI
KUVUTA BANGi SO DHAMBI
Hii ndo maana besidei yenu impetendeza sana
Kaka hongera sana kwa Kutimiza Miaka miwili ya blog yako, big up. I didn't know if it existed until today, you need a little bit of publicity lol.
ReplyDeleteYour friend from JHU/CCP/Malaria
Naona watoto wamejiachia... safi sana wana FOTOBARAZA. Itabidi nami nijiunge sasa na FOTOBARAZA nasikia kuna mapicha kibao kusafisha macho
ReplyDeleteHongera sana na ongeza marogo
ReplyDeletedisminder.