mtoto Alyssa Rahab akifurahia sikukuu yake ya kuzaliwa huku kidole mdomoni
keki ya bethdei ya mtoto Alyssa
baba na mama wa mtoto Alyssa wakiwa katika pozi la picha ya pamoja na kekizz
baba,mama na mtoto
picha ya pamoja na ndugu jamaa na marafiki waliohudhulia katika pati ya hepi bethdei ya kuzaliwa mtoto Alyssa Rajab Sando ambayo ilifana sana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

  1. HONGERA KATOTO KAZURI HAPPY BIRTHDAY TO YOU UUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
    MUNGU AKULINDE NA AKUPE AFYA NJEMA

    ReplyDelete
  2. Hongereni!Baba na mama mnafanana sana kama ndugu vile!

    ReplyDelete
  3. mtoto mzuri kweli kama wazazi wake,hongereni wazazi na mtoto pia.
    The Invisible

    ReplyDelete
  4. Toto zuriii

    ReplyDelete
  5. shughuli! mpaka aliletwa mpiga picha basdei?

    ReplyDelete
  6. Hapi bethidei Alyssa....mtoto ana afya nzuri sana. good job parents !

    ReplyDelete
  7. Heri na Baraka Wazazi na Mtoto.
    Salaam toka hapa New York.
    Fr. Ngirwa

    ReplyDelete
  8. HUYO BABA NA MAMA WANAFANANA ITABIDI WAKAPIME DNA INAWEZEKANA NI NDUGU MTU NA DADA YAKE NA WAO HAWAJUI.

    ReplyDelete
  9. Maashallah mtoto mzuri sana nimempenda Mwenyezi Mungu awakuzie na amuepushie na madhila ya dunia,happy birthday Alyssa.

    ReplyDelete
  10. mwenyekiti nakukosoa kidogo hapo chini..ni alyssa rahabu na siyo 'rajabu'..ahsante kaka na kazi njema

    ReplyDelete
  11. hongereni saaana wapendwa, familia inapendeza sana wapendwa!!!

    ReplyDelete
  12. Happy Birthday baby girl....Mbona baba na mama hawajatwambia ni Birthday ya mwaka mmoja au miwili? ....

    How big and cute are you....hope everything was a blast.

    ReplyDelete
  13. mtoto mzuri kweli

    ReplyDelete
  14. jamani huyo si Mary Mwanyika wa Kilakala au macho yangu. congratulations wazazi mtoto mzuuuurrrriiii!!!

    ReplyDelete
  15. happy b'day Alyssa jamani mtoto mzuriiiii na afya nzuriiii hongereni sana wazazi, missing u my friendwifi.

    ni mimi wifiyo
    Australia

    ReplyDelete
  16. Hi bro David, congratulations for your daughter's Birthday.
    May the Almighty God bless you and your family, prolong your life and enjoy the fruits of the land, ameen....
    Kedmon Joab ('Chuma' - Mazengo class 1996-1998)
    Plz get in touch my email is kedmonjob@yahoo.ca in Washington DC
    Big up Doc!

    ReplyDelete
  17. loo mtoto mzuri kweli kana afya na furaha tele wazazi wazurii na wamefanana sana hongereni kwa kumtunza mtoto wenu vema..... happy besdei alyssa

    ReplyDelete
  18. Happy birthday mjukuu hongereni Maria na David kitoto kizuri mgenipa mtafute mungine hahaha.

    ReplyDelete
  19. Itakuwa vipi kama wadau wote wakatuma picha za hepibethidei? nadhani kila mdau humu anatarajia kuhabarishwa nini kilichojiri nchini na siyo kuona mtoto yupi katimiza miaka mingapi. Ni mtazamo tu.

    ReplyDelete
  20. Hongera Mr. Sando kwa kukuza binti mzuri, I remember you when we were at Mazengo Complex,Mr.kiyenze.

    ReplyDelete
  21. PETER NALITOLELAApril 13, 2010

    I AM NOT HUNDRDED SURE OH MY GOT THIS CUTES BABY LOOKED LIKE ANKAL MICHUZI HOWEVER I PONDERING IS NOT HER BABY BUT JUST LOOKING ALIKE SOMEHOW. TWO HUMANS BEING LOOKED ALIKE, SO MICHUZI IF THIS ARE THE CASE THEN YOU ARE HANDSOME TOO. CONGRATURATIONS FATHER AND MOTHER FOR YOUR BABY`S HAPPY BARTHIDAY TO YOU, MY ALMIGHT GOD BLESS YOU AND ALSO INCREASE YOUR LIFE EXPECTANCY. I LOVE EVERY BODY, CIAO!

    ReplyDelete
  22. Hawa wote (yani baba na mama)ni madakitari, mototo ataachaje kuwa na afya njema? Hongereni sana mungu awatunzie binti yenu.

    ReplyDelete
  23. Wadau ambaohawaoni mhimuwa kuweka picha za birthday nawashangaa.Hii blog niya picha za matokeo mbali mbali iwe harusi, siasa, birthday nk sasa malalamiko ya nini?? mwenye blog angeona hazifai asingeziweka

    ReplyDelete
  24. well done job mr and Mrs.somebody. si mchezo mtoto ana afya njema kwakweli ni faraja sana kwetu kuona mtoto anakuwa na afya nzuri hasa kwa wanafamilia vijana km nyinyi.Familia bora inaonekana usoni familia ya upendo mungu awalinde muishi kwa amani awakuzie mtoto vizuri, kirusi cha shetani kishindwe ktk jina la yesu. amen

    ReplyDelete
  25. Like mother like daughter

    ReplyDelete
  26. My sis and shem, kweli Alyssa is a great Joy...Wishing her many more birthdays ahead of her. And kwa wazazi wa Alyssa...kazeni buti...mtoto afya isipungue....lol.

    ReplyDelete
  27. CONGRATS. REALLY ADORABLE... WE LOVE YOU. ARCADDIUS & FAMILY

    ReplyDelete
  28. Happy Birthday my Niece. I am happy but too bad I was not there. I wish her many years ahead. Congrats to you David & Mary. Uncle Geoff!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...