Baadhi ya viongozi wa Bonite wakiwa katika meza kuu kutoka Shoto meneja Uajili Dominic Urasa,Meneja tawi la Arusha, Mongola Segule, Meneja wa fedha Gi
Uiso akinywa coca cola baada ya kuwaambia watu waliofika kwenye hafla hiyo kuwa mbali na zawadi pia utaendelea kuburudika Dixon Busagaga wa Blog ya Jamii Moshi akiwa ameshika jembe akijiandaa kwa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa promosheni.
Mshindi wa wa tiketi katika promosheni ya Kwea Pipa Saimoni Makao akizungumza mara baada ya kukabidhiwa tiketi yakeMeneja Masoko kiwanda cha Bonite Gilbert Uiso akisoma majina ya washindi wa Tiketi na TV katika Promosheni ya Kwea Pipa na ushinde. Meneja uajili wa kiwanda cha Bonite Dominick Urasa akimkabidhi mmoja kati ya washindi wa zawadi ya TV katika promosheni ya Kwea pipa na ushinde inayoendeshwa na cokacola.
Meneja wa fedha kiwanda cha Bonite Gidion Kaaya akimkabidhi mfano wa tiketi ya promosheni ya Kwea Pipa na Ushinde.inayo endeshwa na kampuni ya soda za cokacola.
baahi ya washindi wakiwa katika hafla hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hii inanifanya niogope kurudi bongo. Ni kuwa wanawake hawaqualify, hawapandishwi vyeo au hamna anayeomba kazi. Naona mashirika mengi maboss wao wote wanakua wanaume.

    Hii imekaa vipi. Itabidi tuijadili hii kiundani. Hao watu wakienda kwenye mikutano ya diaspora huwa wanaongea nini kuhusu ajira kwa mwanamke Tanzania?

    ReplyDelete
  2. Uisso hongera sana kwa bidii zako za kuishirikisha jamii katika masuala ya maendeleo kwa kupitia mfumo wa masoko/biashara.
    Tunakukumbuka sana enzi za Mashindano ya volleyball ya Bonite(TAVA) pale hindu mandal, Moshi. je mna mpango wowote kama Bonite kuyarudisha mashindano hayo yaliyokuwa maarufu sana kwa Tanzania, Kenya, Uganda,Zambia, malawi??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...