huku daladala, katikati dimbiwi, huku ukuta. siku inaenda....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Thank you "Mfuko wa MILLENIUM" kwa Mchango wako wa kutokomeza 'MALARIA"
    "ukishangaa wanakushangaa kwanini unashangaa"

    ReplyDelete
  2. Hiyo ndio dar tambarare bwana kama hutaki rudi kijijini!!mie sioni cha kushangaza hapo....mdau norway

    ReplyDelete
  3. ..........halafu hapo ni katikati ya jiji!!!hiyo nchi ina serikali kweli??

    ReplyDelete
  4. hii itatokea tu kwa sababu hakuna kiongozi hata mmoja kuanzia wa chama tawala au hata wa sirikali ya wadanganyika ambaye anapita au anaishi au ana jamaa wanaotumia mitaa hii, wao ni o'bay,masaki,mbezi- beach nk,sasa sisi walipa kodi ndio tuone kodi yetu inakwenda wapi? tukikaa kimya tu haisaidii na bado....na tuendelee kuwachagua viongozi wetu kwa kulishwa pilau au kupewa kifulana,au kitenge

    ReplyDelete
  5. Ndio maana malaria haiishi. Ile kampeni ilianzishwa na macelebrity wetu "Tanzania bila malaria inawezekana" wanaona hii kweli?

    Weekend moja watu wakijitolea badala ya kwenda pub hii kitu inaondoka in no time.

    ReplyDelete
  6. wake up Tanzanians! hivi kweli tuna akili kweli jamani tusikubali hayo si maisha ndugu zangu. natamani kulia kucheka naaka ndio maana mimi nimeapa nitabeba mabox mpaka nife na Tanzania si rudi ngoo thank michuzi nilikuwa na mawzo ya nyumbani na sasa mjomba nimeyaona

    ReplyDelete
  7. Anon Wed Apr 07, 01:08
    Wewe husirudi endelea kubeba box mpaka pale tutakapo kujengea nchi ndio urudi.

    Unaupungufu wa akili wewe unasubiri nani hakujengee nchi wakati haulipi kodi yoyote nchini mwetu. Hapa ni Posta mpya na hakuna cha ajabu maisha yanasonga tu.

    ReplyDelete
  8. Jamani inasikititisha, hivi sisi waafrika tuna akili za aina gani? mafisadi wanazidi kunona wakati wananchi wanateseka! Naona hasira sana.

    ReplyDelete
  9. "TANZANIA BILA MARALIA INAWEZEKANA" MY a.. WATU KAZI KUANDAA MATAMASHA TUU NA KUNYWA POMBE KISHA KUGOMBANIA KUANDAA NA KUPORANA TENDA... KWENYE UTENDAJI ZERO!!
    WIZI MTUPU!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...