Home
Unlabelled
bongo tambarareeee...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ndipo nchi ilipo, watu wanaikanyagakanyaga tu na kuipitisha kwenye choo.
ReplyDeletemtikila aliwahi kushitakiwa kwa kuikanyaga bendera ya taifa sasa kunatofauti gani na hizo ndala tena mpaka chooni unaingia nazo
ReplyDeletemdau wa Tue Apr 06, 06:17:00 PM, sijui uko nchi gani lakini kama uko uk basi ni lazima ushaona watu wanawavisha mbwa wao bendera ya nchi, kuna chupi na sidiria za bendera ya uk pia.
ReplyDelete........This ain't right..... watanzania wanadumazwa akili zao hata hawaoni whats so wrong with this product.... Bendera ya taifa iheshimiwe, watu waliihangaikia kuipata afu leo hii tunaipeleka chooni sijui Nyerere angekuwepo ingekuaje... what a shame inasikitisha sana... nahisi hadi kulia.
ReplyDeleteJF ni changa la macho la karne.
ReplyDeleteZinduka na uchukuwe hatua maana wale unaowadhani kuwa ndiwo ndani ya JF hakika siwo kabisa.
Kama huamini basi wewe endelea tu kuandika maana ni uhuru wako.
Nawashukuru wazazi wangu kunipeleka darani sasa naweza kutambua hata yajayo bila kujiita nabii au mbashiri.
Nazipenda sana hizi. Ziko wapi ninunue?
ReplyDeleteMHHH this is too much wangeweka limitation...ndio maana Bush alivyokuja bongo watuwamevaa kanga zenye sura yake kwenye makalio...Duh wamarekani wao walichukulia vingine...Kwetu its okay lakini kuna vitu vingine ukiangalia havina maana na nikudhalilisha bendera ya nchi...Kukanyaga bendera hiyo kali
ReplyDeleteMSILETE ZA KULETA HAPA ETI RANGI ZIHESHIMIWE ZISIKANYAGWE? KWANZA HIYO SI BENDERA NI NDALA, KAMA ANGEKUWA ANAKANYAGA BENDERA HILO NI SWALA LINGINE. KUNA TOFAUTI KATI YA BENDERA NA VITU VINGINE VILIVYOPAKWA RANGI INAYOFANANA NA RANGI ZA BENDERA YA TAIFA, BENDERA YA TAIFA HAINA HAKI MILIKI YA KUMILI RANGI HIZO KWA HIYO MTU HAWEZI KUSHITAKIWA KWA KUTUMIA RANGI HIZO KUTENGENEZA BIDHAA ZINGENE KWA MTIRIRIKO WA BENDERA YA TAIFA ANAWEZA KUSHITAKIWA TU ATAKAPOTENGENEZA BENDERA NA KUCHAMBIA MAVI, SI GLASS YA KUNYWEA GONGO YENYE RANGI ZILIZOMO NDANI YA BENDERA YA TAIFAYA KWA, NI BIDHAA MBILI TOFAUTI KABIA. SO TUNATAKIWA KUTOFAUTISHA BENDERA NA BIDHAA ZINGINE ZENYE KUCHUKUWA RANGI ZILIZOMO NDANI YA BENDERA YA TAIFA
ReplyDeleteNI KWELI KABISA WATANZANIA NI MAZUZU SANA HAWAWEZI KUTOFAUTISHA VITU,HIZO NI NDALA ZENYE RANGI, SIO BENDERA YA TAIFA,MDAU WA ULIYETOA MAWAZO HAPO JUU NAKUPA BIG UP, WATANZANIA BADO KABISA
ReplyDeletekwendeni huko hiyo ni mirangi tuu hata chupi zitengenezzwe kwani ishu ni nini? ovyooo kama vile linci tajiriiiiiiiiiiiiii wakti ushuzi mytu tengenezeni mpaka lagar zenye hiyo rangi ni poa tuuu
ReplyDeleteBendera, Bendera, Mbona Bunge ambalo ni Kutunga shera lina zulia la Bendera nendeni mkalitoe.Mimi sio sababu za kutaka hata kulia kama mmoja livyosema. Hizo ni rangi tuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
ReplyDelete.....WATANZANIA 'WALO WENGI' KWELI MAZUZU KAMA BAADHI YA WADAU HAPO JUU... YANI HAWAAOONI KABISA IN THE LONG RUN EFFECT ZAKE..... NASUBIRI KWA HAMU "CREATIVITY" YA TOILET PAPER ZA BENDERA YA TAIFA.
ReplyDelete