MC Njelekela alisherehesha send off ya Patricia ukumbi wa Kiramuu jijini Dar
mdau johnson mshana na patricia komanya wakitabasamu mara baada ya kumeremeta wikiendi hii katika kanisa ka KKKT Mbezi Beach, Dar na kufuatiwa na mnuso wa nguvu Mlimani City. Bw. harusi anapiga boxi Bank M wakati Bi harusi yuko nanihii.Picha zaidi


Jamani Patty! Yaani umenipiga bao? Haiwezekani! Hongera sana saana. Natumai uliingilia na ule wimbo wetu wa ... Mungu Yu Mwema ...., maana natumai zile practice hazikuwa za bure.
ReplyDeleteNakutakia maisha mema yenye furaha!
Ni mimi mpiga Boxi mwenzako wa zamani pale Benki ya Nanihii.
nimecheka sana eti bi harusi yuko "nanihii" nini?
ReplyDeletemaana kisipotajika either fisadi au shushushu
kazi kweli,ila mmependeza sana
Jamani MC njelekela I wish nipate contact zako, nakukukumbuka toka church ya Mbezi, but nitakutafuta tu, wow sijuui kama unasomaga humu anyway. good to see you , and to know you are doing good
ReplyDeleteHongera maharusi
Bwana Johnson, Mmependeza Kweli Kweli..Nawatakia Maisha bora ya ndoa yenu, hadi ukamilifu wa Dahari....Ni mimi Nyangusi Ndukai
ReplyDelete