Vijana "City Bulls": Top row, left to right: Uswege Mbamba (R.I.P.), Hamim Kissoky, Kolumba Mwingira, Rahim Kipingu, Eric Temba, Teddy Mwakabaga, Loty Cheyo, Mutombo, Alex Msoffe, and Delphinus Penessis (Super Coach). Bottom row, left to right: Simon Msoffe, Bahati Mgunda, Joseph Bulengero, Evarist Mapunda, Eric Karanja, and Abbyson Mwaisumo.
Pazi at the National Basketball Championship at Jamuhuri Stadium, Morogoro: From left the Late Mr. Malay, Aziz, Sidi,Yassin, Abass (Bana),Mbaga mwamboma, Saleh Zonga,Thomas, Kange Hassan, Mzee Kimaro Squatting: Late Raymond, Abdallah Aboud, Anderson Kailembo, Mohammed. Photos courtesy of Rahim Kipingu & Mohamed Siu.
Nice one Michuzi umenikumbusha mbali sana, These were the real giants of Tanzania's basketball....enzi za Gymkhana mechi zinachezwa mpaka usiku wa manane. RIP wote waliotangulia na sisi tunafuata.
ReplyDeleteenzi hizo nihatari wapenzi walikuwa wengi kama sasa ilivyo mpira wa miguu
ReplyDeletena ilikuwa kukosa hata mazoezi kutizama huwezi. michuzi unajua sana wewe ilivyokuwa hizo siku tulikuwa wote hahahaha. nikweli hao ni
real giants.na sio rahisi kutokea tena nasema hivi kwakuwa hizo siku
kumepitwa mengi kulikuwa na viongozi
wa kweli.wachezaji wa kweli wapenzi wakweli ah inatia imani sasahivi ilivyo basketball..
Pazi Rocks baby!! All day, all ways...PAZI forever!!
ReplyDeletethe legends!
ReplyDeletethese people really loved the game.times were hard those days.hakuna mafao ya kutosha wala vifaa! but people played with pure heart!
Good old days. Tofauti ya enzi hizo na sasa ni kuwa kama wachezaji tulikuwa tukipendana sana, kama familia. Kwa sisi tuliokuwa wadogo kidogo huwezi kuleta tabia mbaya uwanjani/mazoezini. Palikuwa na malezi fulani mazuri.Hii pich ya pazi ilikuwa 1989. Baadhi yetu wachezaji wa pazi na vijana tulikuwa JKT wakati huo.Hii ilifanya JKT kuwa na timu nzuri chini ya kocha Mahesa(marehemu).
ReplyDeleteChama cha mpira wa kikapu kilikuwa maskini enzi hizo lakini timu zilikuwa na moyo kiasi cha kuziba mapengo na mapungufu. Kwa sasa chama kina fedha kiasi fulani lakini timu hzaiko 'committed' kama zamani(Maoni yangu). Shukrani kwa Siu ma Kipingu, ofcourse na ankal.
Tiger
yani nakumbuka hunter alivyokuwa anajua aswa 3point yani kweli wakatiule ilikuwa raha sana mimi nilikuwa mdogo lakini lazima niwe gymkhana ikifika saa kumi naikumbuka timu ya bima ilikuwa safi sana ni kweli wakati uwa unajirudia kaka michuzi?
ReplyDelete